and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba uende usichafue hali ya hewaNikikuangalia... au basi tu..
![]()
Za weweNaomba uende usichafue hali ya hewa
Hivi wale wa kupiga selfie nao wana morning glory🤣🤣
Za wewe
🙄Nzuri
Vipi?🙄
Safi nmekumis 😊Vipi?
Nicheki ule uzi wetuSafi nmekumis 😊
Sawa nusu saa tu nakucheki ,ngoja kidgo.Nicheki ule uzi wetu
Hebu toeni vitumbua hivyo acheni kuvibania, amkeni saa moja asubuhi muoge kwanza mpige mswaki, kisha ndo mfanyane.My people how's weekend?
Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari.
Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya akili, ni hivi.. Kwenye suala zima la kufanya mapenzi binafsi napenda sana kufanya mapenzi kuanzia saa 1900-0200, kinyuma na hapo kwangu najioneaga kero tu, sababu hasa za kupenda mida hii mnakuwa mna energy ya story, kama mnakunywa mmepiga vitu vyenu, mmeoga vizuri yaani ni hearts all over the room..
Sasa basi hamna kitu kinaniudhi mida ya alfajiri nistushwe na kitu kimesimama halafu navutwavutwa kweli huwa nachukia, mida ya alfajiri usingizi ni mtamu mnooo jamani, mswaki hamjapiga, mara hamjaoga aah mi nampa tu huku nimefumba macho bhana atajua yeye😒😒.... wenzangu vipi mnapenda ka morning glory?
Joana, kesho mpe mwenzio, saa 11 na nusu alfajiri, alafu uje hapa kutoa ushuhuda wa raha utayosikia.My people how's weekend?