Duuh sababu yako kubwa hapo ni
Usingizi
Kunuka mdomo
Na kuoga basi...
Ngoja sima hii
Ngono asubuhi inaweza kusaidia ubongo wako kuwa na nguvu siku nzima na pia kukusaidia kuwa na kumbukumbu hivyo unashauriwa kushiriki kila upatapo nafasi.
Ni mazoezi tosha
Unapofanya ngono asubuhi ni kama unafanya mazoezi kwani kuna kilo na mafuta yanapungua pindi unaposhiriki.
Huongeza kinga ya mwili
Ni vizuri kushiriki tendo la ndoa asubuhi kwani huongeza kinga za mwili sababu wakati wa tendo hilo mwili unazalisha antibodi ya IgA inayosaidia katika ulinzi wa mwili dhidi ya magonjwa.