Sipendi Morning Glory

Cha asubuhi kitamu bhana
Hakuna kitu na-enjoy kama mwanaume wangu akisimamisha 🤦‍♀️
Yani hapo nampa hadi nampa tena

Unakwama wapi Joannah
Yani mi nikiona amesimama huwa namuuliza tu vipi anamtaka mwenzie?
Akijibu ndio tu...bhaaass, mambo ya kuchelewa kazini nishazoea🤣🤣🤣🤣

Ila ubaya wake huwa nasinzia sana kazini siku nikipata morning glory🤣🤣🤣🤣
 
Cha asubuhi kitamu bhana
Hakuna kitu na-enjoy kama mwanaume wangu akisimamisha 🤦‍♀️
Yani hapo nampa hadi nampa tena

Unakwama wapi Joannah
Sio shida zangu kabisa wajina,yaani Nampa tu ni vile Siwezi kumuacha aumie,mi swaga zangu night bwana weee Dunia imepoaa,walimwengu na viumbe vyote wamelala unakula mambo Hadi unajihisi umehamia mars😁
 
Ushawahi kuona ile umetoka kuoga ujiandae uende job, unajifuta maji.....mtu anataka🤣🤣🤣🤣
 
Yaani upo mtaani kwangu na hautaki morning glory 🤣😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…