Sipendi Morning Glory

Inaonekana umekosa wakili mzuri wa kukutetea, maana Wazee wenzio wote tumeonekana tuna tabia njema 😅

By the way, hata comment niliyoandika hapo juu imeandikwa na lastborn wangu nadhani 😜
Kuna namna naanza kutengwa mkuu, wazee tunaonekana hatuna afadhali. Jana namtetea mzee mwenzangu Ushimen nikaonekana na mimi zimeruka kidogo🤣🤣

Ila swala la.morning glory halina mbadala, napenda kitu chukuchuku yani, saa10 alfajiri na lile joto la papa, nikimaliza hapo hakyanani siku itaenda poa sana.
 
Kweli maana watu wananuka maudenda na midomo
 
Hata Mimi enzi za Ujana wangu nilikuwa Mpenzi sana wa morning glory

Sasa tumezeeka, tumebaki kuvizia Siku mnala wa Babeli ukiwa Dede hata kama Bibi atakuwa anapika anaitwa haraka haraka kabla mnala haujaanguka 🙌😜
 
Nadhani morning glory ni tamu kuliko ninavyoweza kuielezea. Ule ubaridi wa asbh na kitu kikiwa kimesimama kama mshale hua sio poa. Halafu asbh akili yote huwa kwenye kuchakata. Kimsingi morning glory ni jambo jema. Halafu ni kama wanawake nao huwa tayari tayari.
 
We cha asubuhi, na kile kibaridi papa linakuwa la moto,acha kabisa..!! usifanye masihara na cha asubuhi ..!!
 
Wanasema Cha asubuhi kitamu afu kina usingizi waweza pitiliza ukaamka saa 6 asubuh
 
Hahahahaha....
 
MORNING GLORY NI MFUMO WA KUABUDU MAJIRA YA ASUBUHI NI KATIKA KUMWABUDU MOLA MLEZI, AGHALABU IBADA YA ALFAJIRI AU ASUBUHI NI IBADA ZENYE NGUVU ZAIDI NA USIKIVU ZAIDI.
Hata mi najua maana hiii JF kisiwa cha maarifa, kuna mwaka nlwahi post mahali time for morning glory basi walioona walijua nalaliwa wakati huo,
wakati nlimaanisha hiki puuh🤣🤣🤣😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…