ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Kwani hii project ya morning glory haikuhusu?😅Aisee inabidi nitoke kwenye huu uzi, maneno ni mazitooo😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hii project ya morning glory haikuhusu?😅Aisee inabidi nitoke kwenye huu uzi, maneno ni mazitooo😂
Itanihusu nikipata mkwe wakoKwani hii project ya morning glory haikuhusu?😅
Kuna namna naanza kutengwa mkuu, wazee tunaonekana hatuna afadhali. Jana namtetea mzee mwenzangu Ushimen nikaonekana na mimi zimeruka kidogo🤣🤣Inaonekana umekosa wakili mzuri wa kukutetea, maana Wazee wenzio wote tumeonekana tuna tabia njema 😅
By the way, hata comment niliyoandika hapo juu imeandikwa na lastborn wangu nadhani 😜
Endelea kusubiri meli arusha, hakuna kulaza damu, kula kilichopo🏃🏃🏃Itanihusu nikipata mkwe wako
Kweli maana watu wananuka maudenda na midomoMy people how's weekend?
Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari.
Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya akili, ni hivi.. Kwenye suala zima la kufanya mapenzi binafsi napenda sana kufanya mapenzi kuanzia saa 1900-0200, kinyuma na hapo kwangu najioneaga kero tu, sababu hasa za kupenda mida hii mnakuwa mna energy ya story, kama mnakunywa mmepiga vitu vyenu, mmeoga vizuri yaani ni hearts all over the room..
Sasa basi hamna kitu kinaniudhi mida ya alfajiri nistushwe na kitu kimesimama halafu navutwavutwa kweli huwa nachukia, mida ya alfajiri usingizi ni mtamu mnooo jamani, mswaki hamjapiga, mara hamjaoga aah mi nampa tu huku nimefumba macho bhana atajua yeye😒😒.... wenzangu vipi mnapenda ka morning glory?
Hata Mimi enzi za Ujana wangu nilikuwa Mpenzi sana wa morning gloryKuna namna naanza kutengwa mkuu, wazee tunaonekana hatuna afadhali. Jana namtetea mzee mwenzangu Ushimen nikaonekana na mimi zimeruka kidogo🤣🤣
Ila swala la.morning glory halina mbadala, napenda kitu chukuchuku yani, saa10 alfajiri na lile joto la papa, nikimaliza hapo hakyanani siku itaenda poa sana.
We cha asubuhi, na kile kibaridi papa linakuwa la moto,acha kabisa..!! usifanye masihara na cha asubuhi ..!!My people how's weekend?
Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari.
Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya akili, ni hivi.. Kwenye suala zima la kufanya mapenzi binafsi napenda sana kufanya mapenzi kuanzia saa 1900-0200, kinyuma na hapo kwangu najioneaga kero tu, sababu hasa za kupenda mida hii mnakuwa mna energy ya story, kama mnakunywa mmepiga vitu vyenu, mmeoga vizuri yaani ni hearts all over the room..
Sasa basi hamna kitu kinaniudhi mida ya alfajiri nistushwe na kitu kimesimama halafu navutwavutwa kweli huwa nachukia, mida ya alfajiri usingizi ni mtamu mnooo jamani, mswaki hamjapiga, mara hamjaoga aah mi nampa tu huku nimefumba macho bhana atajua yeye😒😒.... wenzangu vipi mnapenda ka morning glory?
Kiwe kipengele kwenye katiba mpya sio!Tendo la ndoa lifutwe jamani.....😹
Atoto
Mzee mwenzangu usiache hilo zoezi, linauhuisha ubongo pamoja na kuwa tumeshazeeka sasa!Hata Mimi enzi za Ujana wangu nilikuwa Mpenzi sana wa morning glory
Sasa tumezeeka, tumebaki kuvizia Siku mnala wa Babeli ukiwa Dede hata kama Bibi atakuwa anapika anaitwa haraka haraka kabla mnala haujaanguka 🙌😜
Wanasema Cha asubuhi kitamu afu kina usingizi waweza pitiliza ukaamka saa 6 asubuhMy people how's weekend?
Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari.
Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya akili, ni hivi.. Kwenye suala zima la kufanya mapenzi binafsi napenda sana kufanya mapenzi kuanzia saa 1900-0200, kinyuma na hapo kwangu najioneaga kero tu, sababu hasa za kupenda mida hii mnakuwa mna energy ya story, kama mnakunywa mmepiga vitu vyenu, mmeoga vizuri yaani ni hearts all over the room..
Sasa basi hamna kitu kinaniudhi mida ya alfajiri nistushwe na kitu kimesimama halafu navutwavutwa kweli huwa nachukia, mida ya alfajiri usingizi ni mtamu mnooo jamani, mswaki hamjapiga, mara hamjaoga aah mi nampa tu huku nimefumba macho bhana atajua yeye😒😒.... wenzangu vipi mnapenda ka morning glory?
Hahahahaha....My people how's weekend?

Hahahahaha...dahTo yeye nilikuwa namwona kicheche jf nzima kumbe hamna kitu, ephen na joannah ni malaya next level
Kumekucha 🤣🤣🤣🤣To yeye nilikuwa namwona kicheche jf nzima kumbe hamna kitu, ephen na joannah ni malaya next level
😂😂😂😂 watu mmevurugwaIyo ya morning glory utajua mwenyewe. Cha muhumu njoo pm niambie upo kigamboni bichi gani nije Sasa hivi. Maana mpk nakoment hapa huu Uzi una dk 15 tuu so nitakuwahi, mana nipo huku huku kiga
Hata mi najua maana hiii JF kisiwa cha maarifa, kuna mwaka nlwahi post mahali time for morning glory basi walioona walijua nalaliwa wakati huo,MORNING GLORY NI MFUMO WA KUABUDU MAJIRA YA ASUBUHI NI KATIKA KUMWABUDU MOLA MLEZI, AGHALABU IBADA YA ALFAJIRI AU ASUBUHI NI IBADA ZENYE NGUVU ZAIDI NA USIKIVU ZAIDI.