Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
Sipendi tanesco wanavyokatakata umeme!
Leo wamekata sijui mara ngapi na ni punde tu wamerudisha...yumkini watakata tena... rubii hivi kwanini wasikate kabisa hata miezi nane watengeneze matengenezo yao yote yasiyoisha kisha warudishe wasikate tena?
Mi sipendi tabia ya mtu kuwa na id yake humu hachangii mada yoyote hata kusema "hi" lakini kazi yake kwenda pm za watu kuwatongoza sipendi kabisa hii tabia kama ni wewe badilika!!!!!!!!
Sipendi mtu anaandika C badala ya "s"..
mkuu Horseshoe Arch huku taa zimecheza nitakupelepweta weee wakakata tena sijui unarudi saa ngapi na matengenezo gani ya usiku usiku
AHahaha ahahahah, umetishaje? Bambie hao baelewee
sipendi ambavyo hamnitaji!
Ulikua wapi wewee sipendi unavyopotea jf