Sipendi - Special thread

Sipendi - Special thread

Sipendi tanesco wanavyokatakata umeme!

Leo wamekata sijui mara ngapi na ni punde tu wamerudisha...yumkini watakata tena... rubii hivi kwanini wasikate kabisa hata miezi nane watengeneze matengenezo yao yote yasiyoisha kisha warudishe wasikate tena?
 
Last edited by a moderator:
Leo wamekata sijui mara ngapi na ni punde tu wamerudisha...yumkini watakata tena... rubii hivi kwanini wasikate kabisa hata miezi nane watengeneze matengenezo yao yote yasiyoisha kisha warudishe wasikate tena?

mkuu Horseshoe Arch huku taa zimecheza nitakupelepweta weee wakakata tena sijui unarudi saa ngapi na matengenezo gani ya usiku usiku
 
Last edited by a moderator:
Sipendi mtu anapo maliza kula anajichokonoa meno na kijiti, kisha anaitoa na kukiangalia kipande cha nyama alichokitoa, alafu anakirudisha mdomonitena.
Aggghhhh...... sipendi kabisa
 
Mtu anachokooa mipua kwa kidole,
Anatoa kamasi lililo kauka, alafu analiangalia kamasi kisha ndipo julitupa.
Sipendi kabisa.....
 
sipendi wanaomuulizaga warumi ni jinsia gani!!! kwani kawambia anatafuta mke au mume?..?
 
Last edited by a moderator:
Mi sipendi tabia ya mtu kuwa na id yake humu hachangii mada yoyote hata kusema "hi" lakini kazi yake kwenda pm za watu kuwatongoza sipendi kabisa hii tabia kama ni wewe badilika!!!!!!!!

ahaaaaaa anajuaje kuwa huyu jinsia gani
 
sipendi tabia ya watu waliopitiliza kubishana maswala ya udini, sasa wanabishana kuhusu madhehebu na kujiona dhehebu yao ndo ya kweli kuliko mengine
 
Back
Top Bottom