LINDAIKEJI
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 273
- 131
Khaa!! Hasa wanawake :eyebrows:Sipendi tabia ya watu kukojolea kuta za nyumba.
wale wanawake wanao chomekea madela kwenye kyupi wakati wa mvua
Sipendi tabia ya mama mwenye nyumba kuniangalia vibaya kila nikiwa na kipozeo nasema ukomeeee.eeeeee
Sipendi mtu ku-quote uzi mrefu kwa sentensi moja.
Sipendi CHADEMA ishike dora
Haishiki dora, Chadema itatwaa DOLA
Anakerwa tabia yako chafu
sipendi tabia ya baadhi ya wana jf members kuwa na id zaidi ya 1.
id nyingi mkuu zina matumizi mbalimbali, kama ambavyo waweza badilisha nguo, msosi au mwenzi wakati mwingine vivyo hivyo id ikiwa inapelekea huko. Teh teh teh
Aiseeee.........
Kwahiyo kila jukwaa lina I'd yake!?
id nyingi mkuu zina matumizi mbalimbali, kama ambavyo waweza badilisha nguo, msosi au mwenzi wakati mwingine vivyo hivyo id ikiwa inapelekea huko. Teh teh teh