LINDAIKEJI
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 273
- 131
Sipendi ndugu mwizi.
Sipendi wadada wenye matako au sura nzuri kujiona wao hawahitaji hustle.
Sipendi walokole feki na watu wenye kujifanya wacha Mungu kumbe sio.
Sipendi kutumia nguvu nyingi kutfata hela badala ya akili.
Sipendi yale mabango ya waganga maeneo ya pwani ya coco beach..looks horrible
Sipendi watangazaji wasio na IQ kubwa