,sipendi tabia mtu akianzisha uzi mtu linaangalia tangu ulipojiunga,likes na vinginevyo na mtu kuuliza majina ya watu na selfiee zao wakati ww unatumuia id fake na hafujuani humu....
Sipend mdada au mmama akipost kitu au kukoment unakuta watu kama saba wame kiquote
But akicomment mwanaume hamna atakaye quote labda mmoja
Na sipendi tabia ya mtu kuomba msaada wa mawazo mtu una abusee kama huna cha kuongea si unyamaze au upite kimyaaa
Sipendi tabia, ya mtu kunifuatilia eti anauliza jinsia yangu gani kwani mekuja jiuza ukuuuu