First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,312
- 1,475
Mi sipendi tabia ya mtu kuwa na id yake humu hachangii mada yoyote hata kusema "hi" lakini kazi yake kwenda pm za watu kuwatongoza sipendi kabisa hii tabia kama ni wewe badilika!!!!!!!!
Sipendi mwanamke tumetoka out kwa mara ya kwanza mii naagiza
Safari yeye anaagiza santana.
Kuna tabia ndogo ndogo ambazo zinakera kwenye jamii lakini unashindwa kumuambia mtu live Kutokana na umri hadhi au aibu juu yake lakini vinakukera kila siku..
Kupitia uzi huu naomba tufikishe ujumbe kwa woote wenye hizo tabia wajirekebishe.. Au tujirekebishe pia kama tupo humu..
Naanza na hizi..
Sipendi baba kumbeba mtoto wake huku anavuta sigara..!
Sipendi kila ukifika usiku mtu anakutext "umelala"?
Mwisho tunasema "Acha hiyo ni tabia mbaya"
Jikaze tuu! mimi leo mwepesii nimeyatapika yote
dipendi watu wanaopiga story zao binafsi ndani ya post ya mtu mwingine
Sijawah kudanganywa na mwanamke mwenzangu
Sipendi uongo wa wanaumeeee.....sipendiiiiiiiii
basi me na ww tutongozane bila pm...
Nimeku piemu tukayamalize
Unamjb hapana bby,nipo nje naota juaSipendi MTU anakupigia simu usiku wa manane harafu anakuuliza
"vipi baby umelala?"
Kuna watu wana tabia za ajabu sana. Unakuta mtu anakuja kukulilia shida, anaomba umkope pesa huku akiahidi atarudisha tu mara pesa yake itakapotoka.
Unakubali na pesa unampatia kwa makubaliano kuwa atalipa mara tu pesa yake itakapokuwa tayari. Muda wa kukulipa unafika mara anaanza stori za... Oh unajua najenga.... Pesa nimepeleka kwenye ujenzi... Mara ooh.. Kuna dogo nimemlipia ada.... Mara tena... Oh unajua mama mgonjwa..... Mara nilipata msiba!! Vijisababu kibao ambavyo hata hukutegemea na havikuwa ktk makubaliano yenu.
Matokeo yake sasa, anaanza kulipa pesa kwa mafungu tena kwa mpesa au tigo pesa na makato juu.... Mwishkni unakuta pesa yako yote ni kama umeitoa kafara! Mishoni kiasi kidogo kinabakia kwake na hana uwezo wa kulipa huku akiendelea kuleta vijisababu kibao.
Tubadilikeni jamani. Hizi tabia zina boa sana.
We umekuja kukopa halafu iweje wakati wa kulipa unakija na stori kibao. Lipa pesa ya watu hakuna mtu yupo interested kujua stori zako au matatizo yako! Timiza ahadi kwanza..... Kila mtu ana shida zake. Na ieleweke kuwa mtu akikukopa pesa haina maana kuwa hakuwa na matumizi na pesa hiyo, ila tu ni jambo la huruma na kukuamini.
Sipendi kuona kina dada wakiitumia miili yao kama vyanzo vya kujipatia fedha...
Unamaanisha wema,lulu,ant worper na fordi