Sipendi - Special thread

Sipendi tabia ya marafiki kukaa wanamuomba omba pesa msukuma wangu na kuona ye ndie ana pesa muda wote kila saa kumfilisi tu sipendi sipendiiiiiiii mfanye kazii
 
Sipendi tabia ya wanawake kujipiga picha huku wanaonesha makalio
 
Aku.. Mazoezi gym, kisa cha kutesana bila taarifa. Narudia tena sipendi madereva kugoma, mkome!
 
acha kuzuga, kuna mwanamke ambaye hapenda kutongozwa? wengi mnapenda ila hamjionesh kuwa mnapenda!

unaelewa nilikua naongea nini na muhusika???? au umeamua kuquote tu uonekane umecomment????
SIPENDI WATU WANAODANDIA MAJIBIZANO YA WATU!!!!!! KUJIPENDEKEZA TU
 
...SIPENDI WATU WASIOTOA MAWAZO YAO KAZI KUKOSOA WENZAO.... kwani hamna vya kuongea hadi waseme wenzenu????
 

sipendi unakuta li mbaba unaliheshim vizur kutokana na status yake kwenye jamii, mwisho wa siku linakuomba uligegede aaagh!! SIPENDIIIII
 
...SIPENDI WATU WASIOTOA MAWAZO YAO KAZI KUKOSEA WENZAO.... kwani hamna vya kuongea hadi waseme wenzenu????

mhm...naogopa hata kukwambia umekosea...
 
Sipendi ID za jf huwezi kujua men or jike ni yupi
Badilikeni jamani wengine mnakosa bahati ya kutongozwa ohooooo

sipendi kusikia,''fuata ninachohubiri,si ninachotenda''
....changes begins with you....
 
Sipendi watu wavivu wa kusoma post ndefu... naona kama hawataki details wanataka tu vichwa vya habari waconclude.. au wapewe summary halafu waanze kuuliza lete details, lete source, lete ushahidi... NASEMA SIPENDI!!!

Sipendi thread za kucopy n paste afu ndeefu kam gazeti, muwe mnasummarise ndipo mnapost

............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…