Tajirilakichaga
Senior Member
- Nov 22, 2014
- 160
- 53
Sipendi kabisa udini...
Sipendi mwanaume kuombaomba pesa au ofa bar...
Sipendi mwanaume kuombaomba pesa au ofa bar...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipend watu wanajiona kuwa wanatoka Dar mashauz meng kama dira la fatuma
nasikia wanawake huwa mnasikia raha kutongozwa?
acha kuzuga, kuna mwanamke ambaye hapenda kutongozwa? wengi mnapenda ila hamjionesh kuwa mnapenda!
sipendi mdada namtongoza afu anakataa....
Kuna tabia ndogo ndogo ambazo zinakera kwenye jamii lakini unashindwa kumuambia mtu live Kutokana na umri hadhi au aibu juu yake lakini vinakukera kila siku..
Kupitia uzi huu naomba tufikishe ujumbe kwa woote wenye hizo tabia wajirekebishe.. Au tujirekebishe pia kama tupo humu..
Naanza na hizi..
Sipendi baba kumbeba mtoto wake huku anavuta sigara..!
Sipendi kila ukifika usiku mtu anakutext "umelala"?
Mwisho tunasema "Acha hiyo ni tabia mbaya"
...SIPENDI WATU WASIOTOA MAWAZO YAO KAZI KUKOSEA WENZAO.... kwani hamna vya kuongea hadi waseme wenzenu????
mhm...naogopa hata kukwambia umekosea...
mhm...naogopa hata kukwambia umekosea...
Sipendi ID za jf huwezi kujua men or jike ni yupi
Badilikeni jamani wengine mnakosa bahati ya kutongozwa ohooooo
UOGOpe hvyohvyo!!!!
Sipendi watu wavivu wa kusoma post ndefu... naona kama hawataki details wanataka tu vichwa vya habari waconclude.. au wapewe summary halafu waanze kuuliza lete details, lete source, lete ushahidi... NASEMA SIPENDI!!!
Sipendi thread za kucopy n paste afu ndeefu kam gazeti, muwe mnasummarise ndipo mnapost