Sipendi tufike huko huyu mama inchi imempwaya haheshimiwi wala kuogopwa

Sipendi tufike huko huyu mama inchi imempwaya haheshimiwi wala kuogopwa

maandamano

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2025
Posts
726
Reaction score
1,548
Niongee ukweli kama Taifa tunataka kuinusuru Tanzania huyu mama anaitaji otoke,maana amekosa mvuto wa kuogopwa anadharauliwa kalibu na kita mtu
 
Hawezi kuondoka bila kuondolewa.

Kwani wewe hujui hatua zote alizokwisha pitia toka mwanzo hadi sasa ili abaki madarakani; katika hatua zote hizo kuna hata moja ambayo haikuwa ya kulazimisha yeye awe madarakani?

Unazungumzia "mvuto"? Yeye hahitaji tena awe na mvuto. Ingekuwa hivyo asingefikia hatua ya kuua waTanzania.

Ni kiongozi gani anapata mvuto kwa kuua wananchi wake?
 
Niongee ukweli kama Taifa tunataka kuinusuru Tanzania huyu mama anaitaji otoke,maana amekosa mvuto wa kuogopwa anadharauliwa kalibu na kita mtu
Kosa kubwa ilikua yeye kukubali kugombea Urais kwa maslahi wa watu flani Polepole alikua anaona mbali sana mwisho wa siku angekua kachaguliwa angalau na wananchi sawa sasa mtu umejichagua Dunia Yaya na wananchi wamebadilika wanajua huyu mtu hatumchagua kajichagua Unafikiri Utapata heshima kweli kutoka kwa wananchi na wananchi wanajua upo hapo kwa kajichagua sio wao waliokuchagua
 
Hata nuru ya uso wake inamsuta pakubwa kutoka kuogopa mende mpaka kulala na nyoka chumbani siyo mchezo
 
Lilaaniwe lile lizee la msoga limetuletea laana kwenye ardhi ya Tanganyika nyerere na wenzake waliijenga nchi kwa jasho na damu lenyewe limeibomoa kwa urafi wake halishibi utafikiri linaishi milele
 
Mzee wa Msoga huko aliko atakuwa anajisemea tu mwenyewe "huyu kijana atakuwa amechanganyikiwa, au?"
 
Back
Top Bottom