Sipendi ugali kabisa na ninaishi

Kama ugali ungekua unadumaza akili basi waarabu na wapemba wangekua magenius maana hawali kabisa ugali.

Ila cha ajabu majority ya wapemba na waarabu tz ni vilaza mashuleni sema wanabebwa na mali za ukoo.

Ugali ni mtamu sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…