Sipendi ugali kabisa na ninaishi

Sipendi ugali kabisa na ninaishi

Una marinda lakini?Wewe ni mwanamume mwenzetu?baadaye usije kusema huna nguvu za kiume
 
Mkuu ukitaka kujua ugali hauna hadhi NDIO maana kwenye masherehe.................

Siku ukihudhulia sherehe mf. Harusi alafu ukajiandaa kisaikolojia utakula biriyani au pilau au hata wali wa maji alafu ukakuta ugali harusini.....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
Harusi kibao zina ugali zingine Hadi chai kabisa. Nenda makambako harusini mnapewa chai na uji kabisa
 
Harusi kibao zina ugali zingine Hadi chai kabisa. Nenda makambako harusini mnapewa chai na uji kabisa
Yaah,
Itakua sabb ya Hali ya hewa huko mafinga.....☺️🙂😆😊😊

Ila ukiwa lake zone huwezi wapikia ugali harusini watasema hawajala harusini 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Usipende kushobokea wanaume usiowajua wewe bwabwa.
Yani ukiona mwanaume hapendi ugali anapenda vyakula vya dada zake hilo ni punga kama wewe tu.
Kweli mtu hapendi ugali???
FB_IMG_1684848718012.jpg
FB_IMG_1684848718012.jpg
 
Hata hivyo Ugali umedumaza sana Ubongo za watu wengi na jinsi ulivyo wengi wanaamini ni chakula ya Mtu mweusi kumbe nayo ilililetwa na Mabeberu zipo Nchi nyingi Afrika Ugali sio kipaumbele chao kama hapa kwetu...
Sasa hizo nchi za Afrika kwa kutokula ugali wamekua na akili gani? Ni jambo gani wamefanya kuonyesha kwamba hua hawali ugali?

Wewe tu ulichokiandika tu unaonekana huna akili pamoja na kwamba huli ugali.
 
Nenda hapo Uganda, Rwanda, Burundi, CAR, South Afrika, uone kama ugali ndo chakula chao
mkuu matumbo yakizoa kula chakula fulani, kingine hayataweza. Wengine tumezoa kula ugali ndio tunashiba vizuri kuliko wali na ndizi. Ugali ndio chakula cha kushiba, vyakula vingine vinapoza tu njaa. Hizo nchi kwa kuwa hazitumii ugali labda wana vyakula vyao ambavyo wakila wanashiba kisawasawa
 
Madogo hamjui historia ya wabantu...kabla ya mahindi babu zetu walikua wanakula ugali wa nafaka mbalimbali...Tatizo madogo ujuaji mwingi na elimu zenu za degree.
Nadhani uwele ndo nafaka ya asili ya Africa, na ulitimika kwa ugali na uji. Hizi nafaka nyingine nyingi zimeletwa ma wazungu. Problem ya uewele production yake ni ngumu sana. Unaliwa sana na ndege...hivyo ndo maana njaa zilikuwa haziishi.
 
Back
Top Bottom