PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Usikariri, unadhani substitute ya ugali ni chips? Hapo maana yake haujui vyakulaHakika una nguvu wee ni wale Wala chpisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikariri, unadhani substitute ya ugali ni chips? Hapo maana yake haujui vyakulaHakika una nguvu wee ni wale Wala chpisi
Katika vyakula ambavyo huwa sivishobokei ni Ugali mimi siupendi kabisa yaani sina stim nao kabisa.
Sazingine huwa nakula tu ndo wife au beki3 kaandaa lakini kiukweli ugali sio chakula nachokipa thamani japo familia yangu mke na watoto wanaupenda balaa.
Ni mara kibao nikirudi nyumbani nikikuta wamepika ugali nitapitiliza tu chumbani kulala au nitaomba wanitafutie mbadala.
Na mara nyingi wakiwa wanaandaa huwa wanajua kabisa kwahiyo mbadala lazima iwepo.
Sazingine huwa nakula tu ili siku ipite lakini ni chakula cha hovyo kabisa, mimi naweza kukaa hata mwaka nisile ugali na nikaona fresh kabisa.
Ni kawaida kwangu siku hizi kukaa wiki au wiki mbili bila kuutia ugali mdomoni.
Kuna kitu huwa kinanishangaza sana, kuna watu wanakula ugali mchana na usiku tena siku 7 za wiki duuuh tena ugali na yale madagaa ya ziwa victoria!! Sio kwa nia mbaya au nina ego hapana mimi ugali hapana bora nile ndizi mwezi nzima lakini sio ugali.
Flat kabisa, sina kitambiKitambi chako kinaendeleaje?
Hapo chakula Ni kitimoto na Serengeti hio nyingine Ni gabulougali na rosti ya kitimoto na serengeti lite, wewe acha utani!
Ni akili hauna auKama wewe ni mtu wa kula wali na chips hata show yako kitandani itakuwa ya hivyo hivyo. Watu tunapiga ugali Dona kwa nyama, na maziwa mgando. Nikimshika mama mpaka aseme nimechoka utaniua. Kila saa narudi juu
Inapigaje marufuku chakula Cha masikini kwenye nchi ya kimasikiniChakula kikuu cha waafrika kusini mwa jangwa la sahara ni ugali. Sasa kama kuna muafrika hali ugali huyo atakuwa ameishi ughaibuni. Wali, ndizi na viazi/mihogo ni chakula cha ziada tu. Kusema ugali unadumaza akili serikali ingeupiga marufuku kuula. Kama serikali haioni ugali kama una madhara tutaula sana
Unasema nini wewe unajua source kubwa ya energy kwenye mwili inatoka kwenye vyakula vya carbohydrates ambayo inatengeneza glucose we komaa kupiga mafuta Uongeze makalio na maradhi ya moyoNi akili hauna au
Chips Ina nguvu kuliko ugali hapo nachukulia ugali gram 200 na chips gram 200
Siku izi nimeshindwa kabisa kujua chakula nacho Kipenda 😊😊😊hahan ndio huyu jamaa anatudhalilisha tunaopenda ugali😀 anaita chakula cha kuku Hata mimi nafuga kuku nawapa ngano na Michele anaopenda kula yeye😀
Ni wewe unaetafuta bwana kwa lazima, mla urojo,mla ubwabwa, a.k.a bwabwa!Shoga Ni mm au wewe unaeandika lojo ?
Vyakula vya wanaume wa Dar hivyoNi akili hauna au
Chips Ina nguvu kuliko ugali hapo nachukulia ugali gram 200 na chips gram 200
Malaya wa jela weweTafuta hela mbwa jike wewe
haha kwa sababu una mambo mengi kichwanSiku izi nimeshindwa kabisa kujua chakula nacho Kipenda 😊😊😊
huu nao ni uzi? Km huna cha kuandika si bora ulale ili ufiche upumbavu wako?Katika vyakula ambavyo huwa sivishobokei ni Ugali mimi siupendi kabisa yaani sina stim nao kabisa.
Sazingine huwa nakula tu ndo wife au beki3 kaandaa lakini kiukweli ugali sio chakula nachokipa thamani japo familia yangu mke na watoto wanaupenda balaa.
Ni mara kibao nikirudi nyumbani nikikuta wamepika ugali nitapitiliza tu chumbani kulala au nitaomba wanitafutie mbadala.
Na mara nyingi wakiwa wanaandaa huwa wanajua kabisa kwahiyo mbadala lazima iwepo.
Sazingine huwa nakula tu ili siku ipite lakini ni chakula cha hovyo kabisa, mimi naweza kukaa hata mwaka nisile ugali na nikaona fresh kabisa.
Ni kawaida kwangu siku hizi kukaa wiki au wiki mbili bila kuutia ugali mdomoni.
Kuna kitu huwa kinanishangaza sana, kuna watu wanakula ugali mchana na usiku tena siku 7 za wiki duuuh tena ugali na yale madagaa ya ziwa victoria!! Sio kwa nia mbaya au nina ego hapana mimi ugali hapana bora nile ndizi mwezi nzima lakini sio ugali.
kWa afrika paka huwa hawali wakashiba maana familia nying huwa naona wanawapatia mabaki ya vyakula ambayo unakuta hakuna kitu anachoweza kula humo mpaka kushibaMi paka wangu nikipika ugali hali kabisa sijajua unamfanyaje
Asbh,haha kwa sababu una mambo mengi kichwan
hata ukila huwez furahia
Kwaio mkuu kwanini umefungua Uzi na kutumia Caroline zako kukomenthuu nao ni uzi? Km huna cha kuandika si bora ulale ili ufiche upumbavu wako?
We unaona kile kichwa cha kisukuma kilikua kinashindia wali[emoji23] au chips.