Sipendi ugali kabisa na ninaishi

Sipendi ugali kabisa na ninaishi

Katika vyakula ambavyo huwa sivishobokei ni Ugali mimi siupendi kabisa yaani sina stim nao kabisa.

Sazingine huwa nakula tu ndo wife au beki3 kaandaa lakini kiukweli ugali sio chakula nachokipa thamani japo familia yangu mke na watoto wanaupenda balaa.

Ni mara kibao nikirudi nyumbani nikikuta wamepika ugali nitapitiliza tu chumbani kulala au nitaomba wanitafutie mbadala.

Na mara nyingi wakiwa wanaandaa huwa wanajua kabisa kwahiyo mbadala lazima iwepo.

Sazingine huwa nakula tu ili siku ipite lakini ni chakula cha hovyo kabisa, mimi naweza kukaa hata mwaka nisile ugali na nikaona fresh kabisa.

Ni kawaida kwangu siku hizi kukaa wiki au wiki mbili bila kuutia ugali mdomoni.

Kuna kitu huwa kinanishangaza sana, kuna watu wanakula ugali mchana na usiku tena siku 7 za wiki duuuh tena ugali na yale madagaa ya ziwa victoria!! Sio kwa nia mbaya au nina ego hapana mimi ugali hapana bora nile ndizi mwezi nzima lakini sio ugali.

MWANAPROPAGANDA MUQAWAMMA WA SHIA KWA UPANDE WA AFRIKA MASHARIKI.
 
Nashukuru sana Nyerere alitokea kwa Mara kwa wakurya (Ingawa yeye ni mzanaki). La sivyo tungechelewa sana kupata uhuru hii nchi hawa wanaume soft wasingeweza kumkoromea muingereza
 
Chakula kikuu cha waafrika kusini mwa jangwa la sahara ni ugali. Sasa kama kuna muafrika hali ugali huyo atakuwa ameishi ughaibuni. Wali, ndizi na viazi/mihogo ni chakula cha ziada tu. Kusema ugali unadumaza akili serikali ingeupiga marufuku kuula. Kama serikali haioni ugali kama una madhara tutaula sana
Inapigaje marufuku chakula Cha masikini kwenye nchi ya kimasikini
 
Ni akili hauna au

Chips Ina nguvu kuliko ugali hapo nachukulia ugali gram 200 na chips gram 200
Unasema nini wewe unajua source kubwa ya energy kwenye mwili inatoka kwenye vyakula vya carbohydrates ambayo inatengeneza glucose we komaa kupiga mafuta Uongeze makalio na maradhi ya moyo
 
Mzee wangu hapendagi maharage na sio kwamba ana asaz...

Mzee sabb ya kusoma boarding na kupitia jeshini alichukia sana maharage so mzee wangu hakupenda mboga ya maharage hasa hasa usiku.....

So kwetu mboga ya maharage ilikua ni WANTED
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣😂😂
 
Katika vyakula ambavyo huwa sivishobokei ni Ugali mimi siupendi kabisa yaani sina stim nao kabisa.

Sazingine huwa nakula tu ndo wife au beki3 kaandaa lakini kiukweli ugali sio chakula nachokipa thamani japo familia yangu mke na watoto wanaupenda balaa.

Ni mara kibao nikirudi nyumbani nikikuta wamepika ugali nitapitiliza tu chumbani kulala au nitaomba wanitafutie mbadala.

Na mara nyingi wakiwa wanaandaa huwa wanajua kabisa kwahiyo mbadala lazima iwepo.

Sazingine huwa nakula tu ili siku ipite lakini ni chakula cha hovyo kabisa, mimi naweza kukaa hata mwaka nisile ugali na nikaona fresh kabisa.

Ni kawaida kwangu siku hizi kukaa wiki au wiki mbili bila kuutia ugali mdomoni.

Kuna kitu huwa kinanishangaza sana, kuna watu wanakula ugali mchana na usiku tena siku 7 za wiki duuuh tena ugali na yale madagaa ya ziwa victoria!! Sio kwa nia mbaya au nina ego hapana mimi ugali hapana bora nile ndizi mwezi nzima lakini sio ugali.
huu nao ni uzi? Km huna cha kuandika si bora ulale ili ufiche upumbavu wako?
 
Mi paka wangu nikipika ugali hali kabisa sijajua unamfanyaje
kWa afrika paka huwa hawali wakashiba maana familia nying huwa naona wanawapatia mabaki ya vyakula ambayo unakuta hakuna kitu anachoweza kula humo mpaka kushiba

Ndo maana wengine huanza kuwa na tabia ya kudokoa mboga
 
haha kwa sababu una mambo mengi kichwan
hata ukila huwez furahia
Asbh,
soseji mbili na mayai mawili ya kuchemsha na tende mbili na karanga kiganja kimoja...
Nashushia maziwa au natural juice au artificial I.e Ceres au Azam mango...

Mchana,
Wali au ugali Ina depend na mood ya siku iyo...
Maji lita Moja

Usiku,
Ugali au wali na nyama au kuku au samaki au dagaa au chair fire au maini

Hii ndio Recycling sio Siri inachosha hii Recycling

Ingependeza tupate mawazo tofaut tofaut ya kupangilia mlo 😊😊😊😊
 
Back
Top Bottom