Watu wanashindwa kuelewa kuwa ugali ili ule na uufurahie inatakiwa upate mboga ya kueleweka.maana ugali km ugali wenyewe hauna ladha.Watu tunatofautiana aisee mimi siwezi kabisa kukaa wiki bila kula ugali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanashindwa kuelewa kuwa ugali ili ule na uufurahie inatakiwa upate mboga ya kueleweka.maana ugali km ugali wenyewe hauna ladha.Watu tunatofautiana aisee mimi siwezi kabisa kukaa wiki bila kula ugali
kwamba anakosa nguvu za ziada?Tegemeeni uzi wa kugongewa toka kwa huyu bwana
Jitahidi uwe unakula mboga za majani maana choo kitakuua siku moja 😀mimi kama kawa nashindia ndizi mbivu....
KabisaNchi za Afrika Magharibi wana chakula chao mara nyingi hawatumii ugali utaona hata baadhi ya mambo Senegal,Nigeria na wengine huko akili hazijaganda kama wabongo kutwa na ugali wao harafu wanauamini balaa hamna kitu kabisa zaidi ya kudumaza Ubongo wa watu...kutwa kuulizana vitu vya hovyo hovyo kisa ma Ugali...
Watu wanapenda vyakula soft soft hawapendi kwenda uwani[emoji23]Atakuw ni mwanaume wa Dar. Nina majirani zangu they eat wali everyday. Hawa ndio hufa kwa Corona. .
Hii km sikosei ni musoma moja au nimekosea?Mi binafsi ugali nakula mwaka mzima, Nikikaa siku mbili bila kugusa nguna nahisi kuna kitu cha muhimu nimekikosa, ugali ndo umetukuza sisi na mpaka leo tunaula,.
maji kwa sana mzee baba😂Jitahidi uwe unakula mboga za majani maana choo kitakuua siku moja 😀
Nimecheka kinoma daaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahaaaa embu kwana nicheke maana nina ka shoga kangu ka marekani kalikuja juma mosi kwangu kameondoka jana ila nimekoma yaani hawa watu vyakula vyao nadhani viko hotel kubwa.
Juma mosi usiku saa 5 kananipigia kanataka kuja kulala kwangu kako bored kwakwe hakajui kiswahili hakana wa kuongea nae kana jua "mambo" tu so kakaj kwangu.
Usiku huo mimi nilipika ndizi ahaaaaa kwani kalikula? Kakanywa chai tukalala.
Asubuhi nawaza nikapikie nini? Nikawaza mayai, kweli kalikula mayai na chai chai yenyewe hata kikombe hakawezi maliza.
Mchana nikakapikia chips, kakadono[emoji1787]
Mimi nikajipikia ugali tukala na shoga yangu mwingine, ahaaaa ndo kanauliza " Luckyline what kind of food is this? [emoji28] kanashangaa kweli kananisimulia marekani wengi hawaopiki wanachukua vyakula ambavyo viko tiyari na wanakula junk foods mara nyingi.
Hapo nilimuita shoga yangu aje nina mgeni basi kila kitu janashangaa na kuuliza kakasema kenyewe kanakula hotelin almost every day.
All in all nimefurahi kuwa nae tumeenjoy ila kumbe ni kazi kiasi hiki kuongea kiingereza siku mbili mfululizo? Yesuuuuuu nyie.[emoji1787]
Shoga yangu alivyokuja kukasalimia nikaona ananiangalia mashavu nikamuuliza vip? Ati hujavimba? Unawezaje kuongea na huyu kiunbe ambae hajui kiswahili.
Kuna wakati niliwaacha nikaenda dukani kufata soda mara shoga akanitumia sms " shoga wahi ubaki na mzungu wako mimi hii lugha nakaaga nayo mbali" nyie[emoji1787]
Kwa bongo hii tumejizoea kuongea kiswahili na viluga vyetu huko kijiji tukipiga simu lisaa tunaongea kiluga leo mtu anakuongelesha kimarikia siku mbili sio mchezo.
Mkiona mtu siku nzima huko ofisin anaongea kiingereza msimchukulie poa mpeni heshima zake. sio rahis kama mnavyo dhani.
Kuna rafiki yangu ni mbongo yeye halagi ugali anasema ugali ni chakula cha nguruwe. Anakula wali jan-dec
Ndio sinanashindia chipskwamba anakosa nguvu za ziada?
Mbona ukila nyama nazo zinaleta constipation.? Hapo ukiwa mlaji wa pilipili unaflash vizuri tuuuHivyo vyakula unavyotaja maandazi sijui chapatu ukoachana na cake na visambusa, hivi unakunya kwa raha kweli? maana constipation ipoView attachment 2632222
nyama ipi inaleta constipation 🤣Mbona ukila nyama nazo zinaleta constipation.? Hapo ukiwa mlaji wa pilipili unaflash vizuri tuuu
chips firigisi anajilamba na mayoniseNdio sinanashindia chips
Nyekundu. Usije ukafikiri finyango mbili[emoji23][emoji23][emoji23]nyama ipi inaleta constipation [emoji1787]
Ugali Ni chakula Cha masikini ..ugali hauna faida yoyote ,, hataKatika vyakula ambavyo huwa sivishobokei ni Ugali mimi siupendi kabisa yaani sina stim nao kabisa.
Sazingine huwa nakula tu ndo wife au beki3 kaandaa lakini kiukweli ugali sio chakula nachokipa thamani japo familia yangu mke na watoto wanaupenda balaa.
Ni mara kibao nikirudi nyumbani nikikuta wamepika ugali nitapitiliza tu chumbani kulala au nitaomba wanitafutie mbadala.
Na mara nyingi wakiwa wanaandaa huwa wanajua kabisa kwahiyo mbadala lazima iwepo.
Sazingine huwa nakula tu ili siku ipite lakini ni chakula cha hovyo kabisa, mimi naweza kukaa hata mwaka nisile ugali na nikaona fresh kabisa.
Ni kawaida kwangu siku hizi kukaa wiki au wiki mbili bila kuutia ugali mdomoni.
Kuna kitu huwa kinanishangaza sana, kuna watu wanakula ugali mchana na usiku tena siku 7 za wiki duuuh tena ugali na yale madagaa ya ziwa victoria!! Sio kwa nia mbaya au nina ego hapana mimi ugali hapana bora nile ndizi mwezi nzima lakini sio ugali.