Sipendi ugali kabisa na ninaishi

Sipendi ugali kabisa na ninaishi

Nirudi nyumbani mchana nikute hakuna ugali aisee nitatoa warning kali sana ukirudia kosa ni kwenu Ngosha wa mbasa kama mie unilishe spaghetti cjui Wali mchana hayo ni madharau[emoji23] labda iwe special day kama sikukuu n.k ila kwangu mimi ugali ni constant kama pie(3.14)
 
Wewe Mrs Van mbona huwa nawapa kuku Michele na ngano[emoji1787] kwa hiyo tunaokula ugali hatuli hizo ngano? ila navyo ni vyakuka vya mifugo tu
Sasa maandazi, chapati, sambusa, cake etc utafananisha na ugali au kande kweli [emoji23][emoji23][emoji23] au pilau, wali nazi, biriani
 
hahan ndio huyu jamaa anatudhalilisha tunaopenda ugali😀 anaita chakula cha kuku Hata mimi nafuga kuku nawapa ngano na Michele anaopenda kula yeye😀
Huyo hajielewi kabisa...makange ya kuku wakienyeji + ugali = to real 🥘 unakula hadi unatamani kisiishe kwenye sahani😂😂😂😂
 
Sasa maandazi, chapati, sambusa, cake etc utafananisha na ugali au kande kweli [emoji23][emoji23][emoji23] au pilau, wali nazi, biriani
Hivyo vyakula unavyotaja maandazi sijui chapatu ukoachana na cake na visambusa, hivi unakunya kwa raha kweli? maana constipation ipo
image.jpeg
 
Katika vyakula ambavyo huwa sivishobokei ni Ugali mimi siupendi kabisa yaani sina stim nao kabisa.

Sazingine huwa nakula tu ndo wife au beki3 kaandaa lakini kiukweli ugali sio chakula nachokipa thamani japo familia yangu mke na watoto wanaupenda balaa.

Ni mara kibao nikirudi nyumbani nikikuta wamepika ugali nitapitiliza tu chumbani kulala au nitaomba wanitafutie mbadala.

Na mara nyingi wakiwa wanaandaa huwa wanajua kabisa kwahiyo mbadala lazima iwepo.

Sazingine huwa nakula tu ili siku ipite lakini ni chakula cha hovyo kabisa, mimi naweza kukaa hata mwaka nisile ugali na nikaona fresh kabisa.

Ni kawaida kwangu siku hizi kukaa wiki au wiki mbili bila kuutia ugali mdomoni.

Kuna kitu huwa kinanishangaza sana, kuna watu wanakula ugali mchana na usiku tena siku 7 za wiki duuuh tena ugali na yale madagaa ya ziwa victoria!! Sio kwa nia mbaya au nina ego hapana mimi ugali hapana bora nile ndizi mwezi nzima lakini sio ugali.
 
....ongea taratibu na tema mate chini. Hata sisi wa hali ya chini hatuupendi ugali ....ila ndio hatuna uwezo wa kula tunavyovitaka
 
Back
Top Bottom