Sipendi ugali kabisa na ninaishi

Sipendi ugali kabisa na ninaishi

Chakula kikuu cha waafrika kusini mwa jangwa la sahara ni ugali. Sasa kama kuna muafrika hali ugali huyo atakuwa ameishi ughaibuni. Wali, ndizi na viazi/mihogo ni chakula cha ziada tu. Kusema ugali unadumaza akili serikali ingeupiga marufuku kuula. Kama serikali haioni ugali kama una madhara tutaula sana
Nenda hapo Uganda, Rwanda, Burundi, CAR, South Afrika, uone kama ugali ndo chakula chao
 
Kama wewe ni mtu wa kula wali na chips hata show yako kitandani itakuwa ya hivyo hivyo. Watu tunapiga ugali Dona kwa nyama, na maziwa mgando. Nikimshika mama mpaka aseme nimechoka utaniua. Kila saa narudi juu
Tafuta hela mbwa jike wewe
 
Ugali wa mahindi mswahili yeyote ukisema ugali anajua wa mahindi...ngano na mtama Nchi nyingi wanalima na kutumia hizo nafaka hata kichwani wapo sawa tofauti na wala ugali harafu wanauamini balaa huwezi kuwaambia kitu kwa sababu washadumazwa...
Ngano iko vizuri kuliko Mahindi
 
Itakuwa mara ya kwanza kabisa ulikosea hasa mboga ya kuulia, ugali hauendi kwa mboga za kiduwanzi kama cabbage, maharage,Chinese na mamboga mengine ya hovyo uyajuayo
Kamata ugali dagaa+mtindi ✔
Ugali kitimoto ✔
Ugali mbuzi ✔
Ugali ng'ombe✔
 
Unga mwingi unaouzwa ni mchafu sababu mahindi hayaoshwi, mashine nyingi ni chafu
 
Hao watoto si watakua wamelegea sana yan chakula chao kikuu unawalisha spaghetti, ndizi na wali?
kwa vyakula hivyo siyo mazoezi tu hata Kutembea umbali mdogo kwa miguu hawawezi unatengeneza bom moja baya sana huko mbeleni
Hapana wapo strong vibaya mno, kaka Yao ameanza kuattend boxing classes
 
Bonge la lishe haswa tena upate dona au ugali wa ulezi na kuku wakienyeji rosti acha kabisa asikwambie mtu...Tafuta ujaribu kisha ulete mrejesho hapa..[emoji23][emoji23][emoji23]
Haya Sasa.
IMG-20230523-WA0019.jpg
 
Back
Top Bottom