Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugali wa nafaka gani mkuuUgali wa mahindi mswahili yeyote ukisema ugali anajua wa mahindi...ngano na mtama Nchi nyingi wanalima na kutumia hizo nafaka hata kichwani wapo sawa tofauti na wala ugali harafu wanauamini balaa huwezi kuwaambia kitu kwa sababu washadumazwa...
kwangu hivi ni vyakula vinavyo chosha sana nikila siku mbili tu tofauti na ugali, Tambi siwezi kula zaidi ya mara 3 kwa wiki, pilau sipendi kwaajili ya viungo, wali nikila mchana na usiku sitaki hata kuuona kesho yake, ndizi nayo nikila baada ya muda mfupi naskia njaa kishenzi haziendani na kazi zangu ngumu nazo fanyaWakuu niongezeeni list ya vyakula baada ya hivi
Wali
Tambi
Ndizi
Pilau
Hii comment yako ulipo sema Ugali umedumaza bongo za watu wengi NIMEJIKUTA nimeangua kicheko 🤣🤣😀🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂Hata hivyo Ugali umedumaza sana Ubongo za watu wengi na jinsi ulivyo wengi wanaamini ni chakula ya Mtu mweusi kumbe nayo ilililetwa na Mabeberu zipo Nchi nyingi Afrika Ugali sio kipaumbele chao kama hapa kwetu...
Zamani me mwenyewe nilikuwa sitoi hela yangu kununua ugali.Kwa hela yangu sinunui ugali.
Nimekula sana utotoni. Asubuhi mchana na usiku, 24×7 siku 365 na robo.
Unanipa trauma aisee.
🤓🤓🤓🤓🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂Halafu huwa nawaambia watu hili jambo wanashindwa kuamini, ugali uliletwa na mabeberu na mahindi yaliletwa na wareno kama sikosei, hata kama ugali ulikua ukiliwa Africa sidhani kama ni huu ugali wa dona
Mtaalam ambao watu weusi wengi wanaomuamini kama mzalendo Dr sebi alishawahi kusema ugali wa dona ni sumu na unadumaza akili
Hii theory Ina apply sanaa maana ugali Kwa jamii nyingi pamoja na availability yake ni wachache sana wanaweza toa pesa kulipia ugali mgahawani....🤓🤓🤓🤓Zamani me mwenyewe nilikuwa sitoi hela yangu kununua ugali.
Au nikienda mgahawani kula sitoi order ya ugali.
Mdogo wangu ukikuwa sasa, sijui utakulaje nyama choma bila ugali 🤭
Ndizi daily? Haifai…
Siku hizi naula japo si mara nyingiii ila nimo miongoni kwa walaji.
Unakula nini....plz shareKwa mwaka naweza hesabu mara ngapi nimekula ugal..
Wewe ndo wa hovyo ila siyo ugali, na raha ya ugali huwa ni mbogaKatika vyakula ambavyo huwa sivishobokei ni Ugali mimi siupendi kabisa yaani sina stim nao kabisa.
Sazingine huwa nakula tu ndo wife au beki3 kaandaa lakini kiukweli ugali sio chakula nachokipa thamani japo familia yangu mke na watoto wanaupenda balaa.
Ni mara kibao nikirudi nyumbani nikikuta wamepika ugali nitapitiliza tu chumbani kulala au nitaomba wanitafutie mbadala.
Na mara nyingi wakiwa wanaandaa huwa wanajua kabisa kwahiyo mbadala lazima iwepo.
Sazingine huwa nakula tu ili siku ipite lakini ni chakula cha hovyo kabisa, mimi naweza kukaa hata mwaka nisile ugali na nikaona fresh kabisa.
Ni kawaida kwangu siku hizi kukaa wiki au wiki mbili bila kuutia ugali mdomoni.
Kuna kitu huwa kinanishangaza sana, kuna watu wanakula ugali mchana na usiku tena siku 7 za wiki duuuh tena ugali na yale madagaa ya ziwa victoria!! Sio kwa nia mbaya au nina ego hapana mimi ugali hapana bora nile ndizi mwezi nzima lakini sio ugali.
mbona nimeenda Nigeria nimekula sana ugali wao wanaita Amala na watu wengi wanakula au Nigeria ipi?Nchi za Afrika Magharibi wana chakula chao mara nyingi hawatumii ugali utaona hata baadhi ya mambo Senegal,Nigeria na wengine huko akili hazijaganda kama wabongo kutwa na ugali wao harafu wanauamini balaa hamna kitu kabisa zaidi ya kudumaza Ubongo wa watu...kutwa kuulizana vitu vya hovyo hovyo kisa ma Ugali...
Wahindi hawali Ugali true....Ugali ni Kwa ajili ya watu weusi.....We mzungu nini, manake kuna mzungu alijaribu kula uhakika akachukua kama dakika mbili hivi anakazana kumeza.
Mkuu acha ubishani duniani hapa watu weusi ndio wanao ongoza kula ugali.....Unazungumzia ugali wa nafaka gani ndio uliletwa na mabeberu na ni mwaka gani???
Watakwambia wanapendelea chips. Matokeo yake unakuta dogo yupo 20's, ila hawezi kumpelekea mrembo moto bila kumeza dawa kwanza😁Madogo hawajui hawa wamezaliwa 1990,s up to 2000,s
Hao watoto si watakua wamelegea sana yan chakula chao kikuu unawalisha spaghetti, ndizi na wali?Hiyo ni menu ya mchana napendelea vitu simple hata dada anapika vizuri, jioni ndio ndizi,wali,pilau etc