Sipendi ugali kabisa na ninaishi

Sipendi ugali kabisa na ninaishi

Kwa hela yangu sinunui ugali.

Nimekula sana utotoni. Asubuhi mchana na usiku, 24×7 siku 365 na robo.

Unanipa trauma aisee.
Ugali maharage sio unatoka shule ile ya kurudia ndio unatumwa ukafate maharage sokoni hayo utakutana nayo yameiva saa kumi mchana unarudi shule ukitengenezewa mboga za majani unaona kama kama umekosa kitu...
 
Ugali fulani hv laini, nyama choma nusu kilo, pilipili nyingi sana mixer ndimu, maji ya kunywa lita moja ya baridi. Baada ya hapo nikianza kufungua vizibo sasa naweza nikakata kreti la Kilimanjaro lager aisee.
Sheikh unapiga Kilimanjaro lager na kula kitimoto
oh ooooo
d_0.png
 
Halafu huwa nawaambia watu hili jambo wanashindwa kuamini, ugali uliletwa na mabeberu na mahindi yaliletwa na wareno kama sikosei, hata kama ugali ulikua ukiliwa Africa sidhani kama ni huu ugali wa dona

Mtaalam ambao watu weusi wengi wanaomuamini kama mzalendo Dr sebi alishawahi kusema ugali wa dona ni sumu na unadumaza akili
Baba angu Dr, Hali dona, hataki eti una sumu🤔
 
Madogo hamjui historia ya wabantu...kabla ya mahindi babu zetu walikua wanakula ugali wa nafaka mbalimbali...Tatizo madogo ujuaji mwingi na elimu zenu za degree.
Kabisa..
Nafaka kama ulezi, mtama, uwele, mhogo, nk zilikuwa zinasagwa kwa mawe mawili, Moja kubwa lingine dogo, unapata unga laini kwa ajili ya uji, togwa, ugali..
1684821282508.png
 
Nchi za Afrika Magharibi wana chakula chao mara nyingi hawatumii ugali utaona hata baadhi ya mambo Senegal,Nigeria na wengine huko akili hazijaganda kama wabongo kutwa na ugali wao harafu wanauamini balaa hamna kitu kabisa zaidi ya kudumaza Ubongo wa watu...kutwa kuulizana vitu vya hovyo hovyo kisa ma Ugali...
Fufu ni ugali wa nafaka gani mkuu???
 
Back
Top Bottom