Sipendi ugali kabisa na ninaishi

Kwa hela yangu sinunui ugali.

Nimekula sana utotoni. Asubuhi mchana na usiku, 24×7 siku 365 na robo.

Unanipa trauma aisee.
Ugali maharage sio unatoka shule ile ya kurudia ndio unatumwa ukafate maharage sokoni hayo utakutana nayo yameiva saa kumi mchana unarudi shule ukitengenezewa mboga za majani unaona kama kama umekosa kitu...
 
Ugali fulani hv laini, nyama choma nusu kilo, pilipili nyingi sana mixer ndimu, maji ya kunywa lita moja ya baridi. Baada ya hapo nikianza kufungua vizibo sasa naweza nikakata kreti la Kilimanjaro lager aisee.
Sheikh unapiga Kilimanjaro lager na kula kitimoto
oh ooooo
 
Baba angu Dr, Hali dona, hataki eti una sumu🤔
 
Madogo hamjui historia ya wabantu...kabla ya mahindi babu zetu walikua wanakula ugali wa nafaka mbalimbali...Tatizo madogo ujuaji mwingi na elimu zenu za degree.
Kabisa..
Nafaka kama ulezi, mtama, uwele, mhogo, nk zilikuwa zinasagwa kwa mawe mawili, Moja kubwa lingine dogo, unapata unga laini kwa ajili ya uji, togwa, ugali..
 
Fufu ni ugali wa nafaka gani mkuu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…