Sipendi Ujinga Special thread!

Sipendi Ujinga Special thread!

Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwangu

akaanza kutafuta kitu kila kona ikabid
na mie niamke namuuliza unatafuta nini ananijibu hela ndipo nilipoanza na mie kutafuta nae

maana hta hela ya kula Jana sikua
nayo

alichoka zaid nilipomuliza una uhakika uliweka humu?

sipendagi utani na kitu hela mm!

waiter zungusha tea[emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
_Nipo kwenye daladala siti ya nyuma kabisa nimekaa na mrembo mzurii.sasa nikawa namtongoza kwa sauti ya chini sana watu wengine wasiskie,akawa hanijibu kitu,mala gafra akapayuka kwanguvu na kwa sauti ya juu iliyomshtua kila mtu._
*"Nimesema stakii,stakii tena unikome"*
_Nami nikamjibu kwa sauti ya juu vile vile_
*"Kama umejamba nisikwambie bhanaa,kwani ww nani?"*☹


*_MIMI SIO MTU WA MCHEZO MCHEZO_*
Sipendi kelele kabisaa


Ndio maana nipo
Nyumbani nasikiliza
CD empty


*sio mtu wa mchezo mchezo mimi*


Mliozaliwa mwezi wa tisa tunajua walichokuwa wanafanya wazazi wenu kipindi cha Christmas*

Hatupendi ujinga sisi
 
Back
Top Bottom