Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bhuahahahahahaha dah kumbe ndo wew uliyeniibia buku 10 langusasa hivi kwenye daladala nimemgusa mtu mtu alokaa mbele ili apunguze sauti ya muziki wa simu yake; kwa kiherehere chake akanipa elfu kumi bila kunitizama akidhani mimi ni konda.
imebidi nishuke palepale kwa raha zangu.
sipendagi ujinga kabisa mimi
hihihihihihihihihi!!!!!!!!Ety my ex karekodi video wakiwa na new boi frnd wake chumban na kunitumia akjua nitaumia sana
Na mm nikatfta namba ya Baba ake Kisha nikamtumia Baba ake video ile!!!!!???"
Sipendagi ujinga kabisa.:-🙂-🙂-🙂-(
hii haijakaa poa mtoa post ameandika kijinga jingaMke: Nimempigia simu demu akapokea bwanawake...
akaanza kunitukana..
unampigia nan...
unataka nini...
""""nikamwambia Mimi ni dokta Wa mpenzi wako aliniambia niwe nampigia simu nimkumbushe kumeza dawa za ARV [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mwanamke kalazwa sahivi...
SIPENDAGI. UJINGA MIMI..
0404
[emoji28] [emoji28] [emoji28]sasa hivi kwenye daladala nimemgusa mtu mtu alokaa mbele ili apunguze sauti ya muziki wa simu yake; kwa kiherehere chake akanipa elfu kumi bila kunitizama akidhani mimi ni konda.
imebidi nishuke palepale kwa raha zangu.
sipendagi ujinga kabisa mimi
Hahahahaha atupendagi ujinga kabisa...Ety my ex karekodi video wakiwa na new boi frnd wake chumban na kunitumia akjua nitaumia sana
Na mm nikatfta namba ya Baba ake Kisha nikamtumia Baba ake video ile!!!!!???"
Sipendagi ujinga kabisa.:-🙂-🙂-🙂-(
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakukutolea mapovuEt jana usiku mwiz kavunja mlango kwangu
akaanza kutafuta kitu kila kona ikabid
na mie niamke namuuliza unatafuta nini ananijibu hela ndipo nilipoanza na mie kutafuta nae
maana hta hela ya kula Jana sikua
nayo
alichoka zaid nilipomuliza una uhakika uliweka humu?
sipendagi utani na kitu hela mm!
waiter zungusha tea[emoji481] [emoji481] [emoji481]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila nkienda kwenye harusi wazee wananiambia "bado wewe tu"
Na mimi nimeanza kuwaambia hivyo hivyo tukikutana kwenye mazishi
Wanakua wakali
*Sitaki ujinga *
Vifuko vitatu vya karangaHivi kutoka Dar hadi Bagamoyo kwa miguu nauli yake shilingi ngapi?..