Sipendi Ujinga Special thread!

Mbavu zangu mie.
 
Ety my ex karekodi video wakiwa na new boi frnd wake chumban na kunitumia akjua nitaumia sana
Na mm nikatfta namba ya Baba ake Kisha nikamtumia Baba ake video ile!!!!!???"
Sipendagi ujinga kabisa.:-🙂-🙂-🙂-(
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
sasa hivi kwenye daladala nimemgusa mtu mtu alokaa mbele ili apunguze sauti ya muziki wa simu yake; kwa kiherehere chake akanipa elfu kumi bila kunitizama akidhani mimi ni konda.
imebidi nishuke palepale kwa raha zangu.

sipendagi ujinga kabisa mimi
 
```Walimu wengine bhana!```

*_Eti ananiuliza swali ili kuona kama najua lugha ya Wazazi wangu_* [emoji15]

```"hivi M'bu mnawaitaje kule kwenu,"```

*_Nikamjibu_* ```{huwa hatuwaiti ila wanakuja wenyewe}```

[emoji3][emoji3] _Nasisitiza sipendagi ujinga mimi._
 
sasa hivi kwenye daladala nimemgusa mtu mtu alokaa mbele ili apunguze sauti ya muziki wa simu yake; kwa kiherehere chake akanipa elfu kumi bila kunitizama akidhani mimi ni konda.
imebidi nishuke palepale kwa raha zangu.

sipendagi ujinga kabisa mimi
Shuka mkuu maana we sio mtu wa mchezo mchezo
 
Mbuu gani hao wa malaria au wa zika
[HASHTAG]#Sipendagi[/HASHTAG] ujinga mimi
 
Mimi sio mtu wa mchezo mchezo bana.

Nimemfunga kengere ya electronic kiunoni demu wangu

Sipendagi ujinga mimi
 
Ety my ex karekodi video wakiwa na new boi frnd wake chumban na kunitumia akjua nitaumia sana
Na mm nikatfta namba ya Baba ake Kisha nikamtumia Baba ake video ile!!!!!???"
Sipendagi ujinga kabisa.:-🙂-🙂-🙂-(
[emoji23] [emoji23]
 
*Mi ni Admin wa group letu flan, sasa Leo asubuhi kuna mtu kanitumia text inbox,_*
```"Mambo vipi Admn please add these two numbers 0712 173 610 and 0758 251 890."```

*_Nimemjibu kishujaa:_*
*0712 173610 +*
*0785 251890 = 1,470,425,500.*

Mi Sipendagi ujinga

0404
 
Mke: Nimempigia simu demu akapokea bwanawake...
akaanza kunitukana..
unampigia nan...
unataka nini...
""""nikamwambia Mimi ni dokta Wa mpenzi wako aliniambia niwe nampigia simu nimkumbushe kumeza dawa za ARV [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mwanamke kalazwa sahivi...
SIPENDAGI. UJINGA MIMI..

0404
 
*_```Kuna jamaa kaniblock```_* eti kisa baada ya kuniuliza vp uko kwenu mvua inanyesha? *Namimi* _nikamjibu kwani sms niliokutumia ilikuwa na matope._[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

*Sipendagi ujinga mie ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

0404
 
Unakutana na kidemu ndani ya miezi miwili kanataka kaje waona wazazi wako. Dada, mi mwenyewe nlikaa miezi 9 tumboni kabla sijawaona wazazi wangu mwenyewe, usiniletee mapenzi ya Mwendokasi.

Sipendagi ujinga mimi[emoji55][emoji55][emoji55][emoji55]

0404
 
[emoji117]Ujinga wa ndoto ndiyo huu
••Utaota umeokota dolla ukiamka empty...
••Utaota umeokota dhahabu ukiamka kitandani patupu daadeeki OTA Sasa UMEKOJOA.....

NDOTO AZIPENDAGI UJINGA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

0404
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii kweli kishujaa
 
[emoji117]Ujinga wa ndoto ndiyo huu
••Utaota umeokota dolla ukiamka empty...
••Utaota umeokota dhahabu ukiamka kitandani patupu daadeeki OTA Sasa UMEKOJOA.....

NDOTO AZIPENDAGI UJINGA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

0404
Tisha sana mkuu,
 
Umekurupushwa huko unakuja unahema unasema unapokea ujinga humu!! Unauhakika kua Milembe ndo humu??
Sipendagi ujinga mm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…