Sipendi ujinga

Kaaa!! nimecheka mpaka watu wote wamenishangaa.
 
Hiyo ni tit for tat.
 
Nimesoma thread hii yote na kuona mmeandika na kukutana na mambo ya ujinga ujinga. Nami nimewaona wote ni wajingawajinga. Nimeamua kutoendelea kusoma ujinga huu.

"Maana Sipendagi ujinga mm kabisaaaaaa"
 
tafadhari naomba uniache ndo mambo gani ya kunifanya nicheke mpaka natoa machozi.
sipendi ujinga Mimi.
 
u have made my day @hatupendi ujinga sisi
 
Nimepitia post zooote nikacheka sana nikijua zimeandikwa na Chekechea.....hivyo haraka sana endeleeni kupost ili niendelee kusoma

SIPENDAGI UJINGA MIMI
 
Leo sipendi kelele kabisaa
Ndio maana nipo
Nyumbani nasikiliza
CD empty [emoji37][emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]
*sio mtu wa mchezo mchezo mimi*
[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
hahahahaaaaa sipendagi ujinga mimi nmecheka sana
 
*Bibi kapigwa mtama na Kibaka na kuporwa simu, Kainuka na kuanza kumkimbiza kibaka, Kibaka kuona Bibi hakati tamaa akatupa simu, Bibi kaikota na kuendelea kumkimbiza kibaka, Kibaka _"Bibi kama ni simu yako si tayari umechukua"_, Bibi kajibu _"Bado Mtama"_*
*Ujinga sipendagi mimi"*[emoji23]
 
Hahaha hi kaki
 
Welcome to Tanzania where ladies can match their handbags with their shoes but can't match their babies with their father's[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wadada wa bongo hawapendagi ujingaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
*Jamaa aliniuliza uko wapi siku hizi, nikamwambia nipo chuo kikuu cha St John Dodoma mwaka wa tano. Akaniuliza unachukua kozi gani? Nikamjibu nauza ice cream pale*

**[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]**
*sipendagi ujinga mimi*
 
*** *Kichina kimefanywa rahisi* ***

Jifunze kuongea Kichina ndani ya sekunde 30 kwa kusema maneno haya haraka.
*My Shoe Shall Soon Shine*
[emoji23][emoji23][emoji23] rekodi sauti alaf tuma
**sipendagi ujinga mimi**
 
Hivi huu msemo wa "Sipendi ujinga " umetoka wapi ? Nauona tu humu Jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…