mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,721
nafikiria kuwa profesa lakini nikikumbuka kuna profesa lipumba naacha kaabisa!
[HASHTAG]#sipendi[/HASHTAG] ujinga
[HASHTAG]#sipendi[/HASHTAG] ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaaa!! nimecheka mpaka watu wote wamenishangaa.Jamaa mmoja alialikwa
ktk harusi. Akafika
mlango Wa 1 umeandikwa
kulia ni ndugu Wa maharusi,
kushoto ni wageni waalikwa, akaenda kushoto maana yy
alialikwa. Akakuta mlango
wa2 umeandikwa kulia
wenye zawadi kushoto
wasionazawadi yy
hakuwa na zawadi. Mlango
Wa 3 umeandikwa kulia
wanawake kushoto waume
akapita kushoto akajikuta
ametokea mtaani
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].
Tujifunze kutoa wandugu
[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji35][emoji35][emoji35]hatupendi ujinga sisi
Hiyo ni tit for tat.Nimejichanga weeeee nikafanikiwa kununua ka Vits kangu cha kunisaidia kwenye misele yangu. Siku moja nipo na baba mkwe wangu nampeleka hospitali, tukiwa tunasubiri kuruhusiwa kwenye mataa pembeni kulikuwa na Range Rover anaendesha kijana kama mimi tu. Baba mkwe wangu akaniuliza, *"mkwe!* *umemuona mwanaume huyo?"* Nilishikwa na hasira nikajikuta nimemjibu *"kuwa na baba mkwe tajiri raha sana, jamaa alipewa hiyo gari kama zawadi na baba mkwe wake siku ya harusi yake"* Basi baba mkwe wangu akanyamaza kimya akawa mdooooooogo.
*Pumbavu!* *huwa sipendi dharau mimi*
Nimesoma thread hii yote na kuona mmeandika na kukutana na mambo ya ujinga ujinga. Nami nimewaona wote ni wajingawajinga. Nimeamua kutoendelea kusoma ujinga huu.
"Maana Sipendagi ujinga mm kabisaaaaaa"
tafadhari naomba uniache ndo mambo gani ya kunifanya nicheke mpaka natoa machozi._[emoji41] *Jamaa kamuaga mkewe anaenda semina Songea kwa wiki nzima kumbe kahamia kwa demu nyumba ya pili toka kwake. Siku ya 1 kalala asubuhi alipoamka kachungulia kwake kukoje, si kamuona jamaa yuko nje ya nyumba yake kavaa taulo lake anapiga mswaki. Akapiga kelele, 'We nani?', Jamaa akajibu, 'Mshikaji mambo ya mjini, mume wa huyu demu kasafiri kaenda Songea mi ndo najivinjari hapa'. Mume kajibu kwa uchungu, Shenzi mkubwa, ngoja nirudi toka Songea nakuua.*[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]_
*Mniache mimi sipendi Ujinga Ujinga [emoji125]�[emoji125]�[emoji125]�[emoji125]
ata mie nataka kujua aiseeHivi haka kamsemo nani kakaleta,,,,,,,, ila kananogesha story “sipendi ujinga mimi"[emoji1]
u have made my day @hatupendi ujinga sisiJamaa mmoja alialikwa
ktk harusi. Akafika
mlango Wa 1 umeandikwa
kulia ni ndugu Wa maharusi,
kushoto ni wageni waalikwa, akaenda kushoto maana yy
alialikwa. Akakuta mlango
wa2 umeandikwa kulia
wenye zawadi kushoto
wasionazawadi yy
hakuwa na zawadi. Mlango
Wa 3 umeandikwa kulia
wanawake kushoto waume
akapita kushoto akajikuta
ametokea mtaani
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].
Tujifunze kutoa wandugu
[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji35][emoji35][emoji35]hatupendi ujinga sisi
We ndo wahedi kabisa. Umekosea kukopiNdugu ww ndiyo mjinga maana
0712173610+0758251890=1,497,425,500
Hahaha hi kakiNimejichanga weeeee nikafanikiwa kununua ka Vits kangu cha kunisaidia kwenye misele yangu. Siku moja nipo na baba mkwe wangu nampeleka hospitali, tukiwa tunasubiri kuruhusiwa kwenye mataa pembeni kulikuwa na Range Rover anaendesha kijana kama mimi tu. Baba mkwe wangu akaniuliza, *"mkwe!* *umemuona mwanaume huyo?"* Nilishikwa na hasira nikajikuta nimemjibu *"kuwa na baba mkwe tajiri raha sana, jamaa alipewa hiyo gari kama zawadi na baba mkwe wake siku ya harusi yake"* Basi baba mkwe wangu akanyamaza kimya akawa mdooooooogo.
*Pumbavu!* *huwa sipendi dharau mimi*