Wadau kama umeoa usije pm .
Tamaa zisije zikakupotezea sura.
Humu mmejaa wanaume mlio nawakee pleasee .
Msifungee bahati zetu kwa,uongo wenu kisa mnataka kutupotezea muda kama upo single unataka kutulia ndio ufunguke ila wanawake waliosingle wamekaa kimya kisa nyie wanandoa mnapretend mko single.
Sio vizuri badilikeni.
Tupeni nafasi yakuitwa wake wahalali sio magumashi please tupo serious kuhusu hili