Ndio tena nipo seriousUnatafuta ME?
Wanamalizia za pasaka vuta subiraNdio tena nipo serious
WApo ndaniWanamalizia za pasaka vuta subira
Mi sijaoa mkuu...Wadau kama umeoa usije pm .
Mkuu Mbona unaongea kama mmetoka kwenye kikako na hayo ndio maadhimio yenu?? nilidhani hii ni issue yako binafsiWadau kama umeoa usije pm .
Tamaa zisije zikakupotezea sura.
Humu mmejaa wanaume mlio nawakee pleasee .
Msifungee bahati zetu kwa,uongo wenu kisa mnataka kutupotezea muda kama upo single unataka kutulia ndio ufunguke ila wanawake waliosingle wamekaa kimya kisa nyie wanandoa mnapretend mko single.
Sio vizuri badilikeni.
Tupeni nafasi yakuitwa wake wahalali sio magumashi please tupo serious kuhusu hili
kapicha bacWApo ndani
Haya, nafasi hii hapa unapewa ila jiandae kuacha jf.. [emoji23] [emoji23]Wadau kama umeoa usije pm .
Tamaa zisije zikakupotezea sura.
Humu mmejaa wanaume mlio nawakee pleasee .
Msifungee bahati zetu kwa,uongo wenu kisa mnataka kutupotezea muda kama upo single unataka kutulia ndio ufunguke ila wanawake waliosingle wamekaa kimya kisa nyie wanandoa mnapretend mko single.
Sio vizuri badilikeni.
Tupeni nafasi yakuitwa wake wahalali sio magumashi please tupo serious kuhusu hili
NdioMkuu Mbona unaongea kama mmetoka kwenye kikako na hayo ndio maadhimio yenu?? nilidhani hii ni issue yako binafsi
Mbona single tupo wengi...Wadau kama umeoa usije pm .
Tamaa zisije zikakupotezea sura.
Humu mmejaa wanaume mlio nawakee pleasee .
Msifungee bahati zetu kwa,uongo wenu kisa mnataka kutupotezea muda kama upo single unataka kutulia ndio ufunguke ila wanawake waliosingle wamekaa kimya kisa nyie wanandoa mnapretend mko single.
Sio vizuri badilikeni.
Tupeni nafasi yakuitwa wake wahalali sio magumashi please tupo serious kuhusu hili
CV yako tafadhali!Wadau kama umeoa usije pm .
Tamaa zisije zikakupotezea sura.
Humu mmejaa wanaume mlio nawakee pleasee .
Msifungee bahati zetu kwa,uongo wenu kisa mnataka kutupotezea muda kama upo single unataka kutulia ndio ufunguke ila wanawake waliosingle wamekaa kimya kisa nyie wanandoa mnapretend mko single.
Sio vizuri badilikeni.
Tupeni nafasi yakuitwa wake wahalali sio magumashi please tupo serious kuhusu hili
Acha hasira na kupanicWadau kama umeoa usije pm .