A person is innocent until proven guilty au sivyo? sasa kma mtu ana maovu yake, za mwizi ni arobaini siyo? otherwise huna haja ya kuishi kwa wasiwasi au kutomuamini mwezio wakati hajakupa reason yoyote ya kumdauti. Halafu mwenza wako ni wako, nyie ni mwili mmoja, you should have an opinion about him no matter how naive you might be, othewise unakuwa huna uhakika na uliposimama, n that is terrible. Kwenye ile movie ya "The diary of a tired black man" kuna habari hii hii ya kwamba mdada ana mume mzuri mwaminifu na anaempenda, lakini tu kwa kuwa huyu binti amekua akiona betrayals all her life, na yeye mwenyewe kashatendwa sana, na marafiki zake wanatendwa kila kukicha, yeye akashindwa kumuamini alie naye japokuwa alikuwa mtu mzuri. Hii waliita black women syndrome, yani women drive their men away for lack of trust. So jamani acheni mioyo yenu iwe free, love freely, acheni wasiwasi.