Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Ni kama hivi;
Kama unajua lazima utakufa, kwanini ukiugua unaenda hospitali?
Hommie kakague kule nimafanza nini yaani mi hapa leo ni kugonga senks tu maadamu gari imeniacha.....duh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama hivi;
Kama unajua lazima utakufa, kwanini ukiugua unaenda hospitali?
Carmel point unayo and I am with u totally..lakini humu watu hawataki kufahamu. nilisha wahi kufungua topic about Adultry....nikauliza watu their opion regarding this act...lakini majibu niliyo pata I gave up on them.... Frankly speaking mie naogopa mtu ambae haogopi mungu... he can do anything...uta ni cheat mie fine but how about ur GOD? dont u fear or ashamed infront of him? kama mme wangu ata ni cheat mie I will forgive him only that I should be able to forget him...
Hapo tu ndipo huwa nawa salute wanawake.sasa hutaki xpin? kama hutaki basi, kwani kuna mtu anakulazimisha kuamini? YES, HANA.
Hahahaha TOMASO huyo lakini anataka tu useme kuwa ww unaamini hana lakini mengine unamwachia Mungu.
hahahaha Binamu hapa ni kukesha kwa maombi ili yesu akija atukute tupo tayari ..moyo umebeba mengi hivyo basi . usiusemee moyo wa mwenzio
na mi sitaki kumpa hiyo pleasure, kwani kwa nini haamini? kama kwake ni ngumu kwa wengine ni mteremko haahaaaaaaaaaaa. Mungu ashatupatia utashi so acheni kumsumbua.
I can't agree with u more... unajua mwizi siku zote anadhani kuiba ni rahisi kwa hiyo watu wote ni wizi .... lollllllhumu ndani hata uhubiri vipi sijui kama unaweza kueleweka. kitu kinachoudhi zaidi ni kwamba watu wana wenza wao waaminifu sana tu lakini hawataki kuwaamini, wana wasiwasi wakijua anytime wanaweza ku encounter the ugly truth, why? penye sifa toa sifa, ujue kila mtu ana weakness zake hakuna alie perfect, kuna wengine kubadili wanaake au wanaume ndo ugonjwa wake, wengine pombe wengine kazi, na wengine kusaka pesa etc. so si wanaume wote priority yao ni kuonja onja kila k. kuna wengine ngono hizi si priority kwao, so wale ambao ngono ni priority waendelee.
lakini kuna watu waaminifu tena sana tu.
Point ninayo, hata kama hamuioni. Kwa sababu majhority humu mnaamini there is no life or marriage without infidelity. so ni ngumu kwenu kuamini au kukubali kwamba kuna wasafi. Ni ngumu kama ilivyo ngumu kuamini kwamba ccm kuna waadilifu. Hta wanawake wenyewe humu wana wacheer up kwamba muendelee kuwa wazinzi hata kama mmeoa, so si kosa lenu i really pity you guys.
I can't agree with u more... unajua mwizi siku zote anadhani kuiba ni rahisi kwa hiyo watu wote ni wizi .... lollllll
[/COLOR]
dear umenipeleka mbali sana, ni sis waangu wa kuzaliwa nae, jamani alikuwa na mume nikasema kweli mungu kamjalia sis wangu, yaani kamshushia kutoka mbinguni, wakiwa home fone ya mume ikiita/sms sis ndio anaambiwa apokee/ajibu sms,jamani mkaka alikuwa cjui niseme mapenzi ya dhati cjui ku pretend yaani mie sielewagi mpaka kesho alikuwaje huyu mtu... jamani jamani kilichokuja kugundulika baadae nilinyanyua mikono juu kwa viumbe wanaume....ndoa ilikufa kibudu....mtu usiusemee moyo wa mwenzio kabisa, huyu alikuwa akimshusha sis ofcn yeye haendi ofcn (boss) anafanya kuagiza kazi ziendelee tu, anaenda kwenye hayo mambo sasa, lunch time yupo ofcn kwa sis wanaenda lunch, jioni saa 11 kamili yupo ofcn kwa sis wanaenda home, na hatoki home mpaka kesho yake kazini, jmoc na jpili ndio hatokiii kabisaa ni cku ya kufurahia na familia yake...ote ndao kumbe alikuwa ni laanakhum....ctaki kulia saa hizi mie.
Admit that you are sick on your mind and you will indeed be sick before the end of the day, hata kama hutaumwa utajisikia kuchokachoka.... Admit that all men and women must cheat at some point in their lifetime and you will definately cheat. A cheater is a cheater, no excuse. Amekubali ku cheat na ata cheat mpaka afe. Hii sio best practice as most of you want to put it, ni ujinga wa kujiendekeza.
Mimi si mzinzi (nitake radhi LOL) Mimi ni Mdumisha Mila za Kiafrika.Na we pia acha uzinzi, muheshimu mama matesha alaaaaaaaaaa.
lakini si unajua kuwa binadamu tu wadhaifu kila mtu ana mapungufu yake
Carmel ninaungana nawe kuwa watu wamezoea kuogelea katika dimbwi la tope basi wanaona haina haja kwao kuwa wasafi siku moja! Ni mtazamo hatarishi kwa kuwa ndio huo tutakorithisha wanetu tusiposimama kukemea! Usichoke; Kemea uovu popote pale! it is your responsibility.
NB nimetuma ujumbe kwako hukuupata?
mimi si mzinzi (nitake radhi lol) mimi ni mdumisha mila za kiafrika.
I can't agree with u more... unajua mwizi siku zote anadhani kuiba ni rahisi kwa hiyo watu wote ni wizi .... lollllll
Chrispo how r u doing mate?