Sipendi wanaohalalisha Infidelity

Sipendi wanaohalalisha Infidelity

kama unaweza kuishi na mwenzio kama mumeo au mkeo halafu humuamini hata chembe why live with that person in the first place? unaoa au kuolewa kwa nini kama unajua wanaume wote wanacheat? au wanawake wote wanacheat? kwa nini hamuaamini wenza wenu lakini hata kama hawajawapa reason to doubt them? na inakuwaje ushindwe kujua mkeo anacheat wakati unaishi nae, unalala nae every day? may be i am too naive but i cant get it.

NADHARIA NDIVYO ZILIVYO MA MDOGO.Kua uyaone.
YOU WANNA FACE THE UGLY TRUTH?
 
Infidelity ipo na itaendelea kuwepo. Infidelity kwa wanaume husababishwa na urge ya kufanya ngono ambayo hairidhishwi kirahisi. Kadri unavyofanya zaidi ndivyo unavyotaka zaidi ....... Kwa wanawake mara nyingi ni jinsi ya kujaza psychological void inayokuwa created kwa sababu mbali mbali. Sababu si moja. As long as hizi sababu zinaendelea kuwepo, infidelity itaendelea kuwepo, pamoja na devastating consequences zake vile vile.

Infidelity ya wanawake ni more devastating kwa sababu inaotoka akilini. Mwanamke hawezi kujificha kwani akili yake ikishaelekea kwingine basi tena.... Hakuna cha eti mme hamridhishi au vipi. Hivi mara nyingi ni visingizio tu. Mwanamke akishamkubali mtu, hahitaji mambo mengi kama wengi wanavyofikiria. Mwanamke akishakuchukia hata uwe mtaalam na bingwa vipi, huwezi kumridhisha kwani akili yake hatampa. Hata ukae siku nzima kwenye foreplay, it wont work.

Kwa mwanaume, ngono ni physical na anaweza kuwa na mapartners wengi wa ngono hata kama hawapendi wote au anampenda mmoja kati yao. Kwa mwanaume, ngono is everything and it ends when the act is completed.

Sasa ukiangalia huu mtazamo wa ngono ulivyo tofauti kwa mwanaume na mwanamke, usishangae kwa nini kuwe na infidelity. Hata kule wanakopigwa mawe bado wanafanya tuu. Inaonekana sababu ziko nje ya uwezo wa tamaduni au dini.

Suala ni tufanye nini in the face of this knowledge? Watu wanaoana kwa mbwembwe na matarumbeta kumbe wengine usiku ule kabla ya ndoa amelala kwa mwanaume/mwanamke mwingine. Tayali infidelity imeshakuwa foundation ya relationship kama hizi.

Pengine tuikubali infidelity kama sehemu ya ukweli wa maisha ya binadam na tuukubali kuepusha maumivu.
most appreciated
 
Kweli siipendi lakini my problem is my other half forced me to cheat with Booze, hayuko user friendly kabisaaaa. You are coming from work she just give you a third degree look na pole kwa kazi,then she is busy with whatsoever she was doing which is always watching Kanumba like movies. When she is lovely is when she need something, that is too much it is better from work bar then around 2100 hrs heading home chat with kids for half an hour then to sleep.
this is it!
THUMB UP
 
mie mwenzenu nasuport akina da sopphy kwa mikono na miguu miwili!

its soo unrealistic kuwa kny jamii kama yetu ambayo utamaduni wa vimada ni kama fasheni afu uje na remarks kama hizi...

inawezekana hata mtoa mada,mumeo au baba yako ana vimada lukuki...

its time we gave them,respect as they deserve!!......kwa sababu km tungekuwa tuna run our homes effectively...wao wasingehitajika...

BIG UP da sophy kwa kuwa na courage ya kuja hapa jamvini na kusema uliyosema...much respect!
NAUNGA MKONO HOJA!
thumb up roselyne1
ni-piieeemu basi tukutane jioni kwa majadiliano zaidi
 
sijui we bibie umelelewa malezi gani hadi ushabikie uzinzi, lakini mimi najua kutembea na mume wa mtu ni utovu wa nidhamu na kujishusha hadi grade ya chini. so i dont buy it. Mume wangu hana kimada, hajawahi na hili nasema wazi, na hata yeye anapitia humu nina uhakika anasoma. baba yangu tangu nikue hadi nikawa na akili timamu sijawahi kumhisi na hata kusikia, i guess i am lack that way. so siwezi kukushangaa wewe na opinion yako, yawezekana kwako hii ni order of the day so what can i expect from you? wanasemaga birds of the same feathers....... so cheer them up gal.
mkuu kemo....
THIS ONE NEEDS A LOTS OF JUSTIFICATIONS....
naomba nipingane na post yako
 
Umenifungua akili:

With immediate effect, the salon thing is strictly prohibited to my darling wife!!!!! Aidha nimsuke mwenyewe au nimnyoe upara kudadadeki.
Halafu ukute saluni yenyewe ya wakongo. Au msusi mwenyewe mmasai mwenye mtarimbo kama mguu wa mwanangu matesha. LOL!
hehehehe!
NOTED WITH MANY THANKS
 
Katika thread hii nadhani tunatakiwa kuanza misimamo. Kuna watu wanaelezea kama vile ku cheat ni kila mtu anacheat au ni lazima within ten years of marriage u cheat angalau mara moja. Ku-cheat siyo fashion wala lazima, ni kukosa kiwango cha hali ya juu ya self control, hata kama wanaume allegedly wana vi-genes vya kama vijogoo au mbwa (kama inavyosemekana humu ndani na kwingineko). Msihalalishe ubazazi wenu na statistics, na kulaumu spouses wenu. Hivi kama mnashindwa kuji-control (wanaume na wanawake) imagine umefika jela miaka miwili kama Liyumba, kule unafanyaje????? Watu mnakaa mnaweka mazingira ya ku-cheat ofisini, bar, nyumbani (mashemeji, hausigeli) halafu mnasema cheating ni kawaida? Shame on you guys. Who makes the statistics? Si wewe na mimi? Kwa hiyo mnaendelea ku-cheat kuendelea kuweka rekodi ya kuhalalisha udhaifu wenu? C'mon...

Mimi nakiri kuwa SI-CHEAT!! Na nina miaka kibao ya ndoa. Vishawishi vya ku cheat ni vingi, ila si-cheat. Chrispin na wengine wamesema wanacheat. Ambao hawa cheat kama mimi wajitokeze please!!! Lets make a difference and tell a different story, hiyo inayoitwa ya kusadikika. Tukaneni, mkebehi mtajua wenyewe, habari ndiyo hiyo
 
Thanks Carmel... good point; JE KUNA CHANCE KWAMBA WANANDOA WALIO NDANI YA NDOA KUKAA MIAKA KUMI BILA INFIDELITY? KAMA NDIO WHAT WOULD BE THE PERCENTAGE? [ACCORDING TO RESEARCH KAMA ZIPO]

Kuhalalisha kisichowezekana ni ngumu na kuharamisha kisichoepukika pia ni ngumu
hehehehe!
bwana mkubwa jana tukiwa maeneo yetu hukuniambia kwamba ulimwaga points kama hivi
 
sijawahi kuwa na matatizo yotote katika ulezi wangu,haya mambo yapo mitaani,unless wewe mwenyewe uyafumbie macho...

eti mumeo hana kimada!...ATAKUAMBIA????what makes you,to be so sure???watu wameletewa watoto pindi waume zao walipokufa!..am sure wangeapa kama wewe hapo juu kuwa waume zao hawatembei nje ya ndoa....

again hili la infidelity halikuhusu na sioni kwa nini likusumbue kama mumeo hatoki nje,hujampa sababu ya kufanya hivyo!...but it will be sooo unrealistic kuwaza nyumba nyengine nazo zimejitosheleza kama ya kwako....

wanaotoka nje ya ndoa wana sababu zao,kama mumeo hana,usitake kuassume na waume wa wenzio pia HAWANA...!..

AND HEELL NO,KWA NINI NIMLAUMU DA SOPPHY,WKT NI MUME WANGU ALIYESAHAU KIAPO CHETU NA KUMFUATA?
sawa sawa............!
Poor Carmel!!!! Poor Binamu!!!

Hivi unategemea atakutangazia kuwa ana nyumba ndogo. Mama Matesha wangu anaweza kukuapia kuwa mimi mme wake mpenzi niliyeshushwa toka mbinguni kwa ajili yake tu, sijawahi kugonga nje tangu nimuoe. Anaamini hivyo kama ambavyo wewe unavyoamini. Infact ni asilimia kubwa ya wanawake wanaamini hivyo.

Lakini ukweli tunaujua sisi. Mama Matesha wala hata hajui kama nimeshamgongea rafiki yake, nimeshamtafunia mdogo wake, hapo usihesabu kina Eliza na wasaidizi wao.
HEDEEEEEEEEEEEEEEE HEDEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE HEDEEEEEEEEEEEEEEE!....
Pole sana binamu kama wewe pia ni mgonga nje. yes, againi and again, nasema tena wangu hajagonga nje hadi sasa, nyie mnaona ni impossible kaeni hivo hivo na imposibilities zenu. tatizo watu mmezoea maovu kiasi kwamba mnaona mema hayawezekani lol. what makes you think haiwezekani kuwa mwaminifu? a
hehehehe!
mama naona katika hili kuna some PARAMETERS HUKUZIKONSIDA NDO MAANA CHANGAMOTO IMEKUWA KUBWA SANA
 
hehehehe!
bwana mkubwa jana tukiwa maeneo yetu hukuniambia kwamba ulimwaga points kama hivi

Kiongozi naona umeamka.

Wewe najua bado bado kucheat. Mshikiz bado mbichi bana.
 
Ningependekeza watu waangalie movie hii: WHY DID I GET MARRIED?

Then wanaweza kuongezea na hii ya Chris Rock: I THINK I LOVE MY WIFE

Zina mafundisho mazuri sana na hasa kwa wana ndoa au wale wanaotamani kuingia kwenye kifungo cha maisha (ndoa).

Sure hizi movie ni picha halisi ya ndoa tulizonazo
 
Hizo zote ni dalili za wazi, lakini je ni wangapi ambao huwa wanafuatilia? Ukiona mke/mume ameanza kufuatilia hayo, lazima kuna tip atakuwa amepewa.

Wangapi wana line zaidi ya moja ya simu na mwenzi wake anaweza kuwa hajui. Wengi wetu tunatumia internet/computer za ofisini, saa ngapi utagundua ana e-mail address ya magendo? Kufungua e-mail account yahoo, ymail, gmail, hotmail, msn na nyinginezo ni swala la dakika moja, na hukuti user name ambayo inafanana na jina la mkeo/mumeo, utagundua saa ngapi? Ukisema ufuatilie mshahara wa mumeo na jinsi anavyoutumia, hapo ndio maumivu, maana hela za nje ya mshahara ni nyingi kuliko official income. Watu wakikaa kwenye kikao cha nusu saa kapewa laki moja, na huwezi kuiona. Mtu anaweza kumkabidhi mkewe salary slip na fungu lote na akabaki bila senti na akaendelea kuhonga kama kichaa mwenye akili timamu. Kuangalia bills za simu ama matumizi ya simu, sidhani kama inaweza kusaidia, maana watu wana line maalum za wapenzi wao kwa ajili ya ku-cheat. Line ya simu ambayo ni official, kila ikikaguliwa utakuta kuna msg za kutoka kwa ndugu na marafiki ambao unawafahamu, same applies kwa simu zilizopigwa ama kuingia.

Cheater aliye makini atajua namna ya kukwepa hayo yote na kabla hajaamua ku-cheat huwa anasoma mazingira kwanza. Akishaona kona zote ambazo mwenzi wake anaweza kuzitilia mashaka ndipo sasa anaziba mianya yote, halafu ndiyo anafanya kweli. Mke/mume atajua kwamba mwenzi wake yuko faithful kwenye ndoa yao na kumbe ni mwendaji nje mzuri sana.

Mmh keil,
You know these things so much. R u a psychologist or are you a participant in the game of cheating? ( I am just curious).
 
Nimejitahidi kuwapa takwimu bila kuwa biased. I now have to leave you to digest hizi takwimu kabla hatujaendelea na mjadala.
Ahsante kwa takwimu zako za Marekani.

Sasa hebu jitahidi utuletee na za kwetu huku. Nadhani unaelewa fika kuwa linapokuja swala la ngono, waafrika na wazungu ni vitu tofauti kabisa.

Caren my daughter, huku kwetu Africa INFIDELITY IS THERE TO STAY!!!!!!!!
 
kama unaweza kuishi na mwenzio kama mumeo au mkeo halafu humuamini hata chembe why live with that person in the first place? unaoa au kuolewa kwa nini kama unajua wanaume wote wanacheat? au wanawake wote wanacheat? kwa nini hamuaamini wenza wenu lakini hata kama hawajawapa reason to doubt them? na inakuwaje ushindwe kujua mkeo anacheat wakati unaishi nae, unalala nae every day? may be i am too naive but i cant get it.

Natamani nijue ndoa yako ina umri gani nimpe heko shemeji yangu..roho mtakatifu aendelee kumwongoza katika matendo mema
Hivi Carmel unajua watu huwa wanaweka kiapo cha siri moyoni .anahakikisha kwa namna moja au nyingine hutofahamu.habadiriki na kuonyesha tofauti kwako. Na ikiwezekana atazidisha mapenzi kwako ili mtu uendelee kuwa gizani
anacheat nje harafu akirudi ndani ni mwema sana kwako kwanza ataanza kuwalaumu wote anaojua wanacheat ndoa zao ..huku na wewe ukimsupport tu ooh kweli mme wangu /mke wangu sijui kwa nini wanafanya hivyo.kumbe moyoni kuna siri nzito ambayo ukiipata kwanza hutoamini jinsi unavyomwamini.
Na Pale utakapoamini unajikuta na msongo wa mawazo mara magonjwa..mara sijui nini aaaaaaaaaaagggggggg.
 
Labda ili kunogeshea mjadala tujiulize lipi lina nafuu:

a. Mtu anacheat mara kwa mara na watu mbalimbali lakini bila ya kuwa na mahusiano nayo ya kudumu yaani ni purely physical. Hatoi gharama, halali huko n.k Lakini anaitunza familia yake na kumjali mke/mume wake?

b. Mtu anacheat na mtu mwingine mmoja ambaye anakuwa ni kama permanent na hata ameweza kuwa na nyumba mbili (the concept of nyumba ndogo) na anahudumia wote vizuri tu ila hawajuani.

c. Mtu anacheat na kusahau nyumbani; yaani nyumbani inakuwa tu ni mahali pa "kupitia" na ndoa ni suala la 'status' tu kwamba na yeye kaoa au kaolewa.

d. Mtu hacheat kabisa lakini nyumbani ni machozi usiku kucha wakati kila anakopita anaombwa apewe faraja

e. Mtu hacheat kwa sababu hana sababu ya kucheat kwani vyote anavyotaka anavipata kwa mwenzake - msisitizo uko kwenye neno "vyote". Maana kuna vingine mtu akishakuwa "mama fulani" au "baba fulani" basi havifanyi tena au akishapata tu digrii twake basi ndio keshakuwa msomi...

Lakini vile vile tujiulize: Kwenye jamii ambayo ina wanawake wengi kuliko wanaume, kuna uwezekano gani wa wanawake kujikuta wanashare mwanamme mmoja? - kinyume chake pia chaweza kuangaliwa.
 
Natamani nijue ndoa yako ina umri gani nimpe heko shemeji yangu..roho mtakatifu aendelee kumwongoza katika matendo mema
Hivi Carmel unajua watu huwa wanaweka kiapo cha siri moyoni .anahakikisha kwa namna moja au nyingine hutofahamu.habadiriki na kuonyesha tofauti kwako. Na ikiwezekana atazidisha mapenzi kwako ili mtu uendelee kuwa gizani
anacheat nje harafu akirudi ndani ni mwema sana kwako kwanza ataanza kuwalaumu wote anaojua wanacheat ndoa zao ..huku na wewe ukimsupport tu ooh kweli mme wangu /mke wangu sijui kwa nini wanafanya hivyo.kumbe moyoni kuna siri nzito ambayo ukiipata kwanza hutoamini jinsi unavyomwamini.
Na Pale utakapoamini unajikuta na msongo wa mawazo mara magonjwa..mara sijui nini aaaaaaaaaaagggggggg.

Binamu umeamkia wapi leo? Umemwaga vyointi vya kufa mtu. Nikutumie namba za Carmel umwambie live? Anyway, huna haja ya kukagua zawadi yako niliyokupa kwa hii yuziful post. Iangalie hapa chini..............



The Following User Says Thank You to FirstLady1 For This Useful Post:

Chrispin (Today)​
 
Binamu umeamkia wapi leo? Umemwaga vyointi vya kufa mtu. Nikutumie namba za Carmel umwambie live? Anyway, huna haja ya kukagua zawadi yako niliyokupa kwa hii yuziful post. Iangalie hapa chini..............



The Following User Says Thank You to FirstLady1 For This Useful Post:

Chrispin (Today)​

hahahaha Binamu hapa ni kukesha kwa maombi ili yesu akija atukute tupo tayari ..moyo umebeba mengi hivyo basi . usiusemee moyo wa mwenzio
 
hahahaha Binamu hapa ni kukesha kwa maombi ili yesu akija atukute tupo tayari ..moyo umebeba mengi hivyo basi . usiusemee moyo wa mwenzio
You can say that Again and Again and Again.
 
Back
Top Bottom