duh...mj bana sasa apo wewe wa moto au wabaridi? Mbona naona kuna ujumbe hatarishi pia umeutuma na unaulizia matokeo? Carmel si nke wa ntu? Lol
iknow, and i agree. Ndo maana xpin alitakiwa aiweke hivi, kuna baadhi wana mapungufu yao na sio kusema haiwezekani kabisa. Mapungufu yake si mapungufu ya wengine.
A person is innocent until proven guilty au sivyo? sasa kma mtu ana maovu yake, za mwizi ni arobaini siyo? otherwise huna haja ya kuishi kwa wasiwasi au kutomuamini mwezio wakati hajakupa reason yoyote ya kumdauti. Halafu mwenza wako ni wako, nyie ni mwili mmoja, you should have an opinion about him no matter how naive you might be, othewise unakuwa huna uhakika na uliposimama, n that is terrible. Kwenye ile movie ya "The diary of a tired black man" kuna habari hii hii ya kwamba mdada ana mume mzuri mwaminifu na anaempenda, lakini tu kwa kuwa huyu binti amekua akiona betrayals all her life, na yeye mwenyewe kashatendwa sana, na marafiki zake wanatendwa kila kukicha, yeye akashindwa kumuamini alie naye japokuwa alikuwa mtu mzuri. Hii waliita black women syndrome, yani women drive their men away for lack of trust. So jamani acheni mioyo yenu iwe free, love freely, acheni wasiwasi.
ndio kaizer hana, labda aanze leo kwa kuona hii league niloanzisha hapa jf, na afanye hivyo kwa kuniprove wrong ili apate huo uanaume ambao ndio mnaouhubiri hapa jf kwamba to be a man you have to cheat, otherwise you are less than a man lol.
Tatizo hommie una do the needful kwa kuchelewa. Ni sawa unaenda bar unamkuta Eliza anafunga mlango wa kaunta!Hommie kakague kule nimafanza nini yaani mi hapa leo ni kugonga senks tu maadamu gari imeniacha.....duh!
Hahaha! hommie bana. We men are all the same! Watu wanavikimbia vivuli vyao kijanja janja! Stuka!Duh...MJ bana sasa apo wewe wa moto au wabaridi? mbona naona kuna ujumbe hatarishi pia umeutuma na unaulizia matokeo? carmel si nke wa ntu? LOL
Maadam hapa si kimbari cha maungamo, you will not be cheated! Ngoja tusubiri jibule.naamini hauwezi kuwa ujumbe hatarishi kwa kuwa msimao wangu uko wazi. No cheating! Na wewe unacheat b?
A person is innocent until proven guilty au sivyo? sasa kma mtu ana maovu yake, za mwizi ni arobaini siyo? otherwise huna haja ya kuishi kwa wasiwasi au kutomuamini mwezio wakati hajakupa reason yoyote ya kumdauti. Halafu mwenza wako ni wako, nyie ni mwili mmoja, you should have an opinion about him no matter how naive you might be, othewise unakuwa huna uhakika na uliposimama, n that is terrible. Kwenye ile movie ya "The diary of a tired black man" kuna habari hii hii ya kwamba mdada ana mume mzuri mwaminifu na anaempenda, lakini tu kwa kuwa huyu binti amekua akiona betrayals all her life, na yeye mwenyewe kashatendwa sana, na marafiki zake wanatendwa kila kukicha, yeye akashindwa kumuamini alie naye japokuwa alikuwa mtu mzuri. Hii waliita black women syndrome, yani women drive their men away for lack of trust. So jamani acheni mioyo yenu iwe free, love freely, acheni wasiwasi.
"Mpendazoe alisema kwa mujibu wa sheria inayompa madaraka msajili wa vyama vya siasa, hawezi na hapaswi kukataa kutoa usajili kwa chama vya siasa kwa kisingizio cha kukosa bajeti ya shughuli alizopaswa kuzifanya.
Yeye kama msajili alitakiwa kuelewa kwamba mwaka huu kuna vyama vingepeleka maombi ya usajili, kwa nini ofisi yake isitenge bajeti itakayomuwezesha kutekeleza majukumu yake, alisema Mpendazoe ambaye alisalimisha ubunge wa jimbo la Kishapu na kujiunga na chama hicho kipya."(Mwananchi, 27/05/2010)
naamini hauwezi kuwa ujumbe hatarishi kwa kuwa msimao wangu uko wazi. No cheating! Na wewe unacheat b?
mmmm hmmm Kaizer .........Mimi si cheat ila nina nyumba ndogo binamu na inafahamika kabisa......lol
je hujawahi kucheat binamu kwa hali yoyote? (apa najua ni pagumu manake kuna PM ya MJ uko kunako usinibishie)
thnx carmel, mie cna wacwac na wa kwangu kabisa, ila ndio hapo tu cwezi kumpa 100%, lakini nimekufurahia sana wewe na shemeji yangu, Mungu awabariki, kwanza wewe kupata mume mwema/mwaminifu, pili kwa shemeji kujitunza/heshimu mwenyewe....
Mimi si cheat ila nina nyumba ndogo binamu na inafahamika kabisa......lol
By the way kuna thread nyingine kule ya poll, nendeni mka-vote tujue statistics za cheating, mbona mnaigwaya?
Mimi si cheat ila nina nyumba ndogo binamu na inafahamika kabisa......lol
je hujawahi kucheat binamu kwa hali yoyote? (apa najua ni pagumu manake kuna PM ya MJ uko kunako usinibishie)
Ndio maana yake kiongozi. Soma katikati ya mistari hapo then pitia posts zako halafu ukonekti dots.Hapo kwenye bold ni mimi mzungumziwa?
bado mna-cheat tu hapa????Ndio maana yake kiongozi. Soma katikati ya mistari hapo then pitia posts zako halafu ukonekti dots.
Mmh keil,
You know these things so much. R u a psychologist or are you a participant in the game of cheating? ( I am just curious).
mmmm hmmm Kaizer .........
Infidelity is relative, tuache uzungu, tutukuze Uafrika, Mume mmoja, mke mmoja ni uzungu. Waafrika mume mmoja wake wengi, ndio maana wengi wana mke mmoja kutimizwa matakwa ya kizungu na dini zao, halafu wana vimada kadhaa.
Inapotokea kwa mke kwenda nje, hiyo ni issue nyingine kabisa ila the bottom line ni aliyenaye ama anashindwa kumtimizia, hivyo anatoka nje ili kupunguza nakisi, ama anashindwa kumtosheleza, hivyo anatoka nje ili atosheke.
Issue sio kuhalalisha, bali society inakuwa too open.
Ile mada yako ya kura imekaa vibaya, huwezi kupata takwimu sahihi kwa kuwa hakuna ambaye anapenda ajulikane kwamba yeye ni cheater, ku-cheat ni sifa mbaya na ndio maana wanaocheat huwa wanafanya kwa siri sana ili wasijulikane.