Sipendi wanaohalalisha Infidelity

Rose!!
longelai chiswahili mau, ta vangi timanyi lepa chingoni!!?
 

NADHARIA NDIVYO ZILIVYO MA MDOGO.Kua uyaone.
YOU WANNA FACE THE UGLY TRUTH?
 
most appreciated
 
this is it!
THUMB UP
 
NAUNGA MKONO HOJA!
thumb up roselyne1
ni-piieeemu basi tukutane jioni kwa majadiliano zaidi
 
mkuu kemo....
THIS ONE NEEDS A LOTS OF JUSTIFICATIONS....
naomba nipingane na post yako
 
hehehehe!
NOTED WITH MANY THANKS
 
Katika thread hii nadhani tunatakiwa kuanza misimamo. Kuna watu wanaelezea kama vile ku cheat ni kila mtu anacheat au ni lazima within ten years of marriage u cheat angalau mara moja. Ku-cheat siyo fashion wala lazima, ni kukosa kiwango cha hali ya juu ya self control, hata kama wanaume allegedly wana vi-genes vya kama vijogoo au mbwa (kama inavyosemekana humu ndani na kwingineko). Msihalalishe ubazazi wenu na statistics, na kulaumu spouses wenu. Hivi kama mnashindwa kuji-control (wanaume na wanawake) imagine umefika jela miaka miwili kama Liyumba, kule unafanyaje????? Watu mnakaa mnaweka mazingira ya ku-cheat ofisini, bar, nyumbani (mashemeji, hausigeli) halafu mnasema cheating ni kawaida? Shame on you guys. Who makes the statistics? Si wewe na mimi? Kwa hiyo mnaendelea ku-cheat kuendelea kuweka rekodi ya kuhalalisha udhaifu wenu? C'mon...

Mimi nakiri kuwa SI-CHEAT!! Na nina miaka kibao ya ndoa. Vishawishi vya ku cheat ni vingi, ila si-cheat. Chrispin na wengine wamesema wanacheat. Ambao hawa cheat kama mimi wajitokeze please!!! Lets make a difference and tell a different story, hiyo inayoitwa ya kusadikika. Tukaneni, mkebehi mtajua wenyewe, habari ndiyo hiyo
 
hehehehe!
bwana mkubwa jana tukiwa maeneo yetu hukuniambia kwamba ulimwaga points kama hivi
 
sawa sawa............!
HEDEEEEEEEEEEEEEEE HEDEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE HEDEEEEEEEEEEEEEEE!....
hehehehe!
mama naona katika hili kuna some PARAMETERS HUKUZIKONSIDA NDO MAANA CHANGAMOTO IMEKUWA KUBWA SANA
 
hehehehe!
bwana mkubwa jana tukiwa maeneo yetu hukuniambia kwamba ulimwaga points kama hivi

Kiongozi naona umeamka.

Wewe najua bado bado kucheat. Mshikiz bado mbichi bana.
 
Ningependekeza watu waangalie movie hii: WHY DID I GET MARRIED?

Then wanaweza kuongezea na hii ya Chris Rock: I THINK I LOVE MY WIFE

Zina mafundisho mazuri sana na hasa kwa wana ndoa au wale wanaotamani kuingia kwenye kifungo cha maisha (ndoa).

Sure hizi movie ni picha halisi ya ndoa tulizonazo
 

Mmh keil,
You know these things so much. R u a psychologist or are you a participant in the game of cheating? ( I am just curious).
 
Nimejitahidi kuwapa takwimu bila kuwa biased. I now have to leave you to digest hizi takwimu kabla hatujaendelea na mjadala.
Ahsante kwa takwimu zako za Marekani.

Sasa hebu jitahidi utuletee na za kwetu huku. Nadhani unaelewa fika kuwa linapokuja swala la ngono, waafrika na wazungu ni vitu tofauti kabisa.

Caren my daughter, huku kwetu Africa INFIDELITY IS THERE TO STAY!!!!!!!!
 

Natamani nijue ndoa yako ina umri gani nimpe heko shemeji yangu..roho mtakatifu aendelee kumwongoza katika matendo mema
Hivi Carmel unajua watu huwa wanaweka kiapo cha siri moyoni .anahakikisha kwa namna moja au nyingine hutofahamu.habadiriki na kuonyesha tofauti kwako. Na ikiwezekana atazidisha mapenzi kwako ili mtu uendelee kuwa gizani
anacheat nje harafu akirudi ndani ni mwema sana kwako kwanza ataanza kuwalaumu wote anaojua wanacheat ndoa zao ..huku na wewe ukimsupport tu ooh kweli mme wangu /mke wangu sijui kwa nini wanafanya hivyo.kumbe moyoni kuna siri nzito ambayo ukiipata kwanza hutoamini jinsi unavyomwamini.
Na Pale utakapoamini unajikuta na msongo wa mawazo mara magonjwa..mara sijui nini aaaaaaaaaaagggggggg.
 
Labda ili kunogeshea mjadala tujiulize lipi lina nafuu:

a. Mtu anacheat mara kwa mara na watu mbalimbali lakini bila ya kuwa na mahusiano nayo ya kudumu yaani ni purely physical. Hatoi gharama, halali huko n.k Lakini anaitunza familia yake na kumjali mke/mume wake?

b. Mtu anacheat na mtu mwingine mmoja ambaye anakuwa ni kama permanent na hata ameweza kuwa na nyumba mbili (the concept of nyumba ndogo) na anahudumia wote vizuri tu ila hawajuani.

c. Mtu anacheat na kusahau nyumbani; yaani nyumbani inakuwa tu ni mahali pa "kupitia" na ndoa ni suala la 'status' tu kwamba na yeye kaoa au kaolewa.

d. Mtu hacheat kabisa lakini nyumbani ni machozi usiku kucha wakati kila anakopita anaombwa apewe faraja

e. Mtu hacheat kwa sababu hana sababu ya kucheat kwani vyote anavyotaka anavipata kwa mwenzake - msisitizo uko kwenye neno "vyote". Maana kuna vingine mtu akishakuwa "mama fulani" au "baba fulani" basi havifanyi tena au akishapata tu digrii twake basi ndio keshakuwa msomi...

Lakini vile vile tujiulize: Kwenye jamii ambayo ina wanawake wengi kuliko wanaume, kuna uwezekano gani wa wanawake kujikuta wanashare mwanamme mmoja? - kinyume chake pia chaweza kuangaliwa.
 

Binamu umeamkia wapi leo? Umemwaga vyointi vya kufa mtu. Nikutumie namba za Carmel umwambie live? Anyway, huna haja ya kukagua zawadi yako niliyokupa kwa hii yuziful post. Iangalie hapa chini..............



The Following User Says Thank You to FirstLady1 For This Useful Post:

Chrispin (Today)​
 

hahahaha Binamu hapa ni kukesha kwa maombi ili yesu akija atukute tupo tayari ..moyo umebeba mengi hivyo basi . usiusemee moyo wa mwenzio
 
hahahaha Binamu hapa ni kukesha kwa maombi ili yesu akija atukute tupo tayari ..moyo umebeba mengi hivyo basi . usiusemee moyo wa mwenzio
You can say that Again and Again and Again.
 
Hii mada sielewi elewi sijui mnazungumzia nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…