Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

Mimi ninatural kabisaa niko vilevilw kila mahali
Hongera katoto kazuri, hebu tuone picha na wenzako waone ili waige mfano mwema kwako[emoji4]
Wataniloga
Lakini kweli, bora usitume tu.

Maana kuna mmoja hapo amesema ye bila kujibandika make-up sawa sawa siku haiendi [emoji4]
Unafikiri nikatoto kazuri bure??
Lazima kuna sababu, sio bure bure [emoji23]
Hahahahahahha nimecheka hapa khaa!!
 
Duuh. Kuna baadhi ya watu bila make-up hawawezi kuthubutu kutoa mguu bedroom. Yaani hata watoto wao hawazijui sura halisi za mama zao. Wanaume sisi ni wavumilivu sana na tunawapenda hivyohivyo, unconditionally.
 
Jamani [emoji3]
True. Imagine hii kitu: Unaanzaje kutoa mguu ndani kwenda kwa bebi bila kutupia mipoda kopo nne na mirangi ndoo kadhaa..
5.jpg
 
Back
Top Bottom