Majumba saba
Senior Member
- Feb 1, 2019
- 145
- 610
KabisaFanya tu then utapata akili nyingine unapokuwa kazn
Hajui ugumu wa mtaani huyu, wahitimu wengi hua na matumaini makubwa sana kuliko uhalisia na ndio maana wanapata msongo wa mawazo,Kuna mtu alikuitia ajira huku??
we subiri baada ya miezi sita utakua ufuta huu Uzi hapa na kuomba hata kazi ya kufagia kwa mama lishe
Mwambie tuu[emoji28]tukwambie ukweli au tukuache [emoji1787][emoji1787]
Ndugu, Bora ningepata hio laki nane, fursa nyingi napata microfinance, na wanataka niwe tayari kuanza na shilingi laki tatu na nusu. Sasa nawaza, maisha ndio yatakuaje? Hio Nile, nipange, niende saloon, nitoe sadaka kha
Better take that chance, fanya kwa bidii, onyesha thamani yako na tengeneza umuhimu wako kiasi kwamba siku ukitaka kutoka wanahisi kupoteza human capital ya muhimu. Kuhusu matumizi, jibane, ishi kuendana na kipato..Ni wachache sana wanaobahatika kuanzia unapopataka.Ndugu, Bora ningepata hio laki nane, fursa nyingi napata microfinance, na wanataka niwe tayari kuanza na shilingi laki tatu na nusu. Sasa nawaza, maisha ndio yatakuaje? Hio Nile, nipange, niende saloon, nitoe sadaka kha
Mkuu, kumbe na wewe umekagua avatar yake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji848][emoji848][emoji848]Over my Dead body Kama huyo wa kwenye Avatar ndio wewe walah hicho kiuno na kalio utapata hata 2M take home, we tembea tembea tu utapata!!!