Sipo tayari kufanya ajira take home chini ya milioni moja

unazarau kazi.wenzako tuna familia na 380k mwisho wa mwez huyoo atm unatombesha atm kadi zinatoka inakuwa inakafeeling flan amaizing vile zinatoka.unaona kama haziishi
 
una maesab makali arifu
 
Anadharau sana huyu bata maji mimi ni mlinzi nalipwa laki na nusu, yeye anajikuta!
 

Ni vyema ukajua GPA yako na degree are not achievements, you have a very long way to go!

Ngoja tu utapata hiyo unyotaka, ila sasa sijui sisi ndo wenye kazi au inatuhusu nini sasa mpaka utupigie kelele!
 
Hamna ukigogo hapo labda ni mtoto wa kihaya ambaye kwao wanauza mbege [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazee wa ofcoz nina degree na in fact sitakubali kulipwa chini ya 1M
 
Kiukweli nilipambana sana kipindi cha probation na probation nilikaa kazini kama mwezi mmoja baada ya hapo corona tukawa hatuendi ofisini tunafanya kazi za nje, ambapo ilikua ni kazi ngumu zaidi kuliko tungekua ofisini mana maeneo tulikua tunaenda kuna mvua na matope kiasi kwamba gari haiwezi kupita hivyo tunalazimika kutembea kwa miguu halafu mwisho wa mwezi unaandika report unamtumia boss.

Sasa kulingana na report moja niliandika boss akaita kikao na kusema imemsaidia kupata sponsor wengi wa taasisi.
 
Mabosi wakizungu niwazuri tena akilipa mwenyew lakini akiwa mbongo katikati hyo ni jam tayar
Sisi mshahara anapanga mwenyewe mzungu cashier (mbongo) anaambiwa tu flani kuanzia mwezi huu tunamlipa kiasi kadhaa
 
Yaani kusoma kote huko,GPA kubwa haijakusaidia kuona mbali,how if uajiriwe kwa mshahr kidogo then ukatmia oportunity ya kupata loan ukawa msing wa wewe kuanzsha biashra zako badala ya kuajiriwa?.baada ya mda u quit the ofisi ukaanza kurun biashra zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…