Sipo tayari kufanya ajira take home chini ya milioni moja

Sipo tayari kufanya ajira take home chini ya milioni moja

Hongera bhana,Sisi akina kalikalanje tunapata chini ya hapo na kwa miaka kibao lkn tunaendelea kukomaa.
 
Daahh ile avatar simchezo [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

Out of topic kuna bimkubwa katokq kunionyesha picha ya binti yake masaa 2 yaliyopita aisee nusura mate yanitoke mbele yake ... aisee duniani kuna warembo nyie acheni tu
Muombe akutumie WhatsApp kuwa umeshamsahau afu share hapa ama niPM namimi nisuuze macho mkuu wangu makini kabisa!!
 
Hongera sie wenzio tunaliowa TZS 600,000/= na maisha yanakwenda sasa ww subiri mshahara wa 2mill

Sent from my SM-G5510 using JamiiForums mobile app
Nimemaliza Chuo Mwaka Jana nikaanza na 268200 take home, Nikapata gap lingine now nakamata 538700 na maisha yanaenda tu Natamani nifikie Hiyo 600K ila ndio Sina namna!!
 
Bado una kamoto moto ngoja kodgo utakuja kuomba hadi kaz za kujitolea na gpa yako kubwa
 
Mkuu hongera kila jambo ni kujiamini believe me lazma utapata kazi ya over 1millions hizi sehemu ngorongoro, Kwa wazungu wa sigara au TPC (top foremen), top saler KFC, GGM, cashier at agrovet, top saler CRDB, DTB n.k mkuu we pambana ukipata kazi nikumbuke.
 
Wajinga Kama nyie ndo mnakufa masikini .. mnaishia kutoa lawama tu
Halafu mwisho wa siku jeuri haikupi Pesa
Fanya hv [ ukishindwa run tena ukimbie mbio zote ]
Ukifanya ajjira kwa Sasa utatapata uzoefu , uzoefu utakupa madili na connection za kazi kubwa Zaid na Pesa nying Zaid

Ukijifanya jeuri utakuwa Kama unajitia Dole halafu unanusa mwenyewe

Majumba saba said:
Mie ni muhitimu wa Degree ya Kwanza ya Banking na Finance mwaka huu wa 2020 na nimepata GPA kubwa. Kinachonishtua ni ofa zinazo patikana ni mishahara kiduchu mno!

Kiukweli, over my dead body, sipo tayari kwa ajira ambayo take home yake ni chini ya milioni moja.

Hope zinapatikana bila shaka.
 
Muombe akutumie WhatsApp kuwa umeshamsahau afu share hapa ama niPM namimi nisuuze macho mkuu wangu makini kabisa!!
[emoji2][emoji2] ngumu sana kufanya hivi ataniona Mimi ni fisi
 
Safari moja huanzisha nyingine.
Ukiwa na huo msimamo utapata kazi ya 1m ukiwa mzee
 
Mie ni muhitimu wa Degree ya Kwanza ya Banking na Finance mwaka huu wa 2020 na nimepata GPA kubwa. Kinachonishtua ni ofa zinazo patikana ni mishahara kiduchu mno!

Kiukweli, over my dead body, sipo tayari kwa ajira ambayo take home yake ni chini ya milioni moja.

Hope zinapatikana bila shaka.
Kuna wenzako Mshahara wao ni chakula wanachokula kazin. Subiri utakapoumwa njaa. Waulize wenzio
 
Mie ni muhitimu wa Degree ya Kwanza ya Banking na Finance mwaka huu wa 2020 na nimepata GPA kubwa. Kinachonishtua ni ofa zinazo patikana ni mishahara kiduchu mno!

Kiukweli, over my dead body, sipo tayari kwa ajira ambayo take home yake ni chini ya milioni moja.

Hope zinapatikana bila shaka.
Pole sana
 
Kwa hiyo usipofanya kazi hayo mahitaji yako utayatimizaje? au bado upo upo home. Serikalini take home ya 1M si mchezo, yaani wawe wamekata kodi yao sichini ya laki 2.5 (TRA), mifuko ya hifadhi ya jamii (10-15%), bima ya afya (si chini ya 50,000/=), mkopo wa bodi kama ulikopa (15%), vyama vya wafanyakazi nk, nk. Na hata ujuzi huna ndo unaanza kazi!!!. Hata sector za mabenki binafsi kwa wanaoanza kama bank officers, hiyo take home ya 1M ni ngumu sana. Wacha kuishi ulimwengu wa ndoto jishikize ukiwa unagain experience na kupata connections.
Ndio maana tuna kizaz cha majizi maofisini anataka akiajiriwa Tu amzidi MTU alie ajiriwa 10yrs back. Hapa ndipo unakutana na wafanyakaz Malaya na majizi wakitaka fika malengo. Watu tumeanza kaz na 400k
 
Back
Top Bottom