Best yako ameolewa?best yangu kindakindaki ana masters anauza duka kariakoo (duka La Mtu)
Ana MTU?
M
Naomba connection kama hutojali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Best yako ameolewa?best yangu kindakindaki ana masters anauza duka kariakoo (duka La Mtu)
[emoji23][emoji23] kuna life inginemkuu pia. Ila likawa somoLeo ni 2020 miaka sita mbele; mshahara ungekuwa umepanda, una uzoefu, ungekuwa umetengeneza connection za kutosha.
Muombe akutumie WhatsApp kuwa umeshamsahau afu share hapa ama niPM namimi nisuuze macho mkuu wangu makini kabisa!!Daahh ile avatar simchezo [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Out of topic kuna bimkubwa katokq kunionyesha picha ya binti yake masaa 2 yaliyopita aisee nusura mate yanitoke mbele yake ... aisee duniani kuna warembo nyie acheni tu
Nimemaliza Chuo Mwaka Jana nikaanza na 268200 take home, Nikapata gap lingine now nakamata 538700 na maisha yanaenda tu Natamani nifikie Hiyo 600K ila ndio Sina namna!!Hongera sie wenzio tunaliowa TZS 600,000/= na maisha yanakwenda sasa ww subiri mshahara wa 2mill
Sent from my SM-G5510 using JamiiForums mobile app
Ushauri mujarabuFanya tu then utapata akili nyingine unapokuwa kazini
Hatari sana aiseeOver my Dead body Kama huyo wa kwenye Avatar ndio wewe walah hicho kiuno na kalio utapata hata 2M take home, we tembea tembea tu utapata!!!
Majumba saba said:Mie ni muhitimu wa Degree ya Kwanza ya Banking na Finance mwaka huu wa 2020 na nimepata GPA kubwa. Kinachonishtua ni ofa zinazo patikana ni mishahara kiduchu mno!
Kiukweli, over my dead body, sipo tayari kwa ajira ambayo take home yake ni chini ya milioni moja.
Hope zinapatikana bila shaka.
Bado una kamoto moto ngoja kodgo utakuja kuomba hadi kaz za kujitolea na gpa yako kubwa
[emoji2][emoji2] ngumu sana kufanya hivi ataniona Mimi ni fisiMuombe akutumie WhatsApp kuwa umeshamsahau afu share hapa ama niPM namimi nisuuze macho mkuu wangu makini kabisa!!
Kuna wenzako Mshahara wao ni chakula wanachokula kazin. Subiri utakapoumwa njaa. Waulize wenzioMie ni muhitimu wa Degree ya Kwanza ya Banking na Finance mwaka huu wa 2020 na nimepata GPA kubwa. Kinachonishtua ni ofa zinazo patikana ni mishahara kiduchu mno!
Kiukweli, over my dead body, sipo tayari kwa ajira ambayo take home yake ni chini ya milioni moja.
Hope zinapatikana bila shaka.
Pole sanaMie ni muhitimu wa Degree ya Kwanza ya Banking na Finance mwaka huu wa 2020 na nimepata GPA kubwa. Kinachonishtua ni ofa zinazo patikana ni mishahara kiduchu mno!
Kiukweli, over my dead body, sipo tayari kwa ajira ambayo take home yake ni chini ya milioni moja.
Hope zinapatikana bila shaka.
Ndio maana tuna kizaz cha majizi maofisini anataka akiajiriwa Tu amzidi MTU alie ajiriwa 10yrs back. Hapa ndipo unakutana na wafanyakaz Malaya na majizi wakitaka fika malengo. Watu tumeanza kaz na 400kKwa hiyo usipofanya kazi hayo mahitaji yako utayatimizaje? au bado upo upo home. Serikalini take home ya 1M si mchezo, yaani wawe wamekata kodi yao sichini ya laki 2.5 (TRA), mifuko ya hifadhi ya jamii (10-15%), bima ya afya (si chini ya 50,000/=), mkopo wa bodi kama ulikopa (15%), vyama vya wafanyakazi nk, nk. Na hata ujuzi huna ndo unaanza kazi!!!. Hata sector za mabenki binafsi kwa wanaoanza kama bank officers, hiyo take home ya 1M ni ngumu sana. Wacha kuishi ulimwengu wa ndoto jishikize ukiwa unagain experience na kupata connections.