Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Katika vitu vinawatesa sana undergraduates wengi ni over expectations kwenye salaries.Mie ni muhitimu wa degree ya kwanza ya Banking na Finance mwaka huu wa 2020 na nimepata GPA kubwa. Kinachonishtua ni ofa zinazo patikana ni mishahara kiduchu mno!
Kiukweli, over my dead body, sipo tayari kwa ajira ambayo take home yake ni chini ya milioni moja.
Hope zinapatikana bila shaka.
Nikueleze hv mshahara haujawahi kumtosha yeyote, kinachofanya watumishi wa taasisi mbalimbali kuenjoy maisha ni vile wanavyotengeneza mazingira ya kuwa na pesa nje ya mshahara ambayo nyingi inategemea umejiwekezaje huko nje ya kazi yako.
Kwa sasa utakataa kila aina ya kazi unayopewa offer kwa ku-expect ipo siku utaitiwa offer itakayokutosha, ambayo kimsingi haipo isipokuwa kwa kuotengeneza mwenyewe ukiwa umeanza kazi.
Zinduka mdogo wangu, nguvu ya boom haitokuwepo tena, uncles, ba mdogo, brother na wategemezi wengine inafika point nao wananchoka na kuamini huenda ni mikosi ya wewe kutokupata kazi kumbe mkosi ni wewe mwenyewe!!!