We ni mwanamke bwana utaolewa hamna tatizo. Ngoja uzeek zeek kwanza.Ndugu, Bora ningepata hio laki nane, fursa nyingi napata microfinance, na wanataka niwe tayari kuanza na shilingi laki tatu na nusu. Sasa nawaza, maisha ndio yatakuaje? Hio Nile, nipange, niende saloon, nitoe sadaka kha
Muoneeni huruma mwenzenu.Me najisomea zangu comments tu
kafanye kazi kwanza upate uzoefu wewe.Mie ni muhitimu wa Degree ya Kwanza ya Banking na Finance mwaka huu wa 2020 na nimepata GPA kubwa. Kinachonishtua ni ofa zinazo patikana ni mishahara kiduchu mno!
Kiukweli, over my dead body, sipo tayari kwa ajira ambayo take home yake ni chini ya milioni moja.
Hope zinapatikana bila shaka.
Sasa siungefanya kimya kimya nyang'au ww? Sisi hayatuhusi.Sasa unanitukana ili iweje? Watanzania wengi mpoje lakini? Sipo Tayari kutoa nguvu zangu na akili mwezi mzima nilipwe laki tatu, hio ninatafuta na kuipata mwenyewe kwa biashara ndogo nilizo anza chuoni.
Usifosi tuwaze sawa.
KENGE WE
Mkuu, siku ukiqnza kuona aibu kujitangaza na degree ya gpa kubwa na ukaanza kusema una elimu ya kidato cha nne ili upate ajira, tuonane.Mie ni muhitimu wa Degree ya Kwanza ya Banking na Finance mwaka huu wa 2020 na nimepata GPA kubwa. Kinachonishtua ni ofa zinazo patikana ni mishahara kiduchu mno!
Kiukweli, over my dead body, sipo tayari kwa ajira ambayo take home yake ni chini ya milioni moja.
Hope zinapatikana bila shaka.
Mie ni muhitimu wa Degree ya Kwanza ya Banking na Finance mwaka huu wa 2020 na nimepata GPA kubwa. Kinachonishtua ni ofa zinazo patikana ni mishahara kiduchu mno!
Kiukweli, over my dead body, sipo tayari kwa ajira ambayo take home yake ni chini ya milioni moja.
Hope zinapatikana bila shaka.
KWA KWELItumuache tu tumsamehe
Bonge la ushauri, mtoa maada zingatia hii.Better take that chance, fanya kwa bidii, onyesha thamani yako na tengeneza umuhimu wako kiasi kwamba siku ukitaka kutoka wanahisi kupoteza human capital ya muhimu. Kuhusu matumizi, jibane, ishi kuendana na kipato..Ni wachache sana wanaobahatika kuanzia unapopataka.
NAFASI UWEZO JINA PESA, hii ni chain muhimu sana ambayo ukiizingatia itakupa zaidi ya hiyo milion moja...Chukua nafasi, Onyesha uwezo, tengeneza jina then ingiza pesa.
Usisahau, your value depreciates with time. Better understand that. Gud luck
[emoji23][emoji23] watu bhana!Hili ndio tatizo la mitoto iliyolelewa kwenye mboga saba tena kwa kudekezwa mama linaita maaaaa na baba linaitwa baaaa
hongera kwa kuwa na pa kula na pa kulala - endelea kutafuta hiyo take home yako - karibu kwenye soko la ajira !!Mie ni muhitimu wa Degree ya Kwanza ya Banking na Finance mwaka huu wa 2020 na nimepata GPA kubwa. Kinachonishtua ni ofa zinazo patikana ni mishahara kiduchu mno!
Kiukweli, over my dead body, sipo tayari kwa ajira ambayo take home yake ni chini ya milioni moja.
Hope zinapatikana bila shaka.