mwacheni77
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 763
- 209
Ukisikiliza vzr song utaelewa cos kataja had kukata mauno na kuvaa nguo za kubanaUtoto huu sasa kibra.Anyway,unauhakika gani kama alitaka kumaanisha Diamond?
Anasema sir nature...usiwe limbuken wewe dada mond wakikuita mashabiki unakula bundi kukata kiuno sana kwani ndio ufundi?Haaaaahaa ma men Kibra msitu wa vina ebwana eeeehh jamaa kapita vzr kwny hii joint mpaka imebidi niifanye ringtone yng kama jana ualafu uyo dada Judith mamaaaa kakaza bonge moja la ngoma kwng mimi nimeani legends wakiamua ni kisangaaa yote 9 ila siwezi sema kalengwa Daimond cuz kasema dada Mondi ila wa leo wote wakisema yalaa limewafika waache kunata wakikutana mashabiki alafu hizi kushusha suruali na kukata sana mauno sio ndo kujua muziki Nature katisha sana afu ni kibabe zaidi maana haiendi kule kwny redio akina Pilato.
Anasema sir nature...usiwe limbuken wewe dada mond wakikuita mashabiki unakula bundi kukata kiuno sana kwani ndio ufundi?
Kwa kifupi bonge la songs lengend wawil wamepika kitu cha uhakika na hata melody imetulia vbaya mno.Nimependa pia Kibra kaimba alafu ka-rap kuonyesha ubabe kaimalizia yy chorus ila bonge moja la joint ukiwa umenza na kupenda muziki na akina Mavoko huwezi kuelewa Jide dzain anasema tusiwaache rafiki wa jana hawa wa leo hatujui tabia zao
Ukisikiliza vzr song utaelewa cos kataja had kukata mauno na kuvaa nguo za kubana
Nature itambidi afanye kazi hasa,dogo Diamond amejipanga sana.
Unaitwa kama jana nature ft jideUnaitwaje huo wimbo wa Juma natural
huyu diamond wamuache...kama kaka yao vimeno AY kaomba poo kwa platinumz sioni wa kumzuia nasseeb kwa sasa...