Sir Nature Amdiss Diamond Mchana Kweupe

Sir Nature Amdiss Diamond Mchana Kweupe

mwacheni77

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
763
Reaction score
209
Juma nature katika song lake jipya aliomshirikisha Lady Jaydee amemdiss Diamond kwa kumuita dada mond. Juma Nature amesema hayo katika wimbo mpya aliouachia unaitwa kama jana.
 
Utoto huu sasa kibra.Anyway,unauhakika gani kama alitaka kumaanisha Diamond?
 
Haaaaahaa ma men Kibra msitu wa vina ebwana eeeehh jamaa kapita vzr kwny hii joint mpaka imebidi niifanye ringtone yng kama jana alafu uyo dada Judith mamaaaa kakaza bonge moja la ngoma kwng mimi nimeani legends wakiamua ni kisangaaa yote 9 ila siwezi sema kalengwa Daimond cuz kasema dada Mondi ila wa leo wote wakisema yalaa limewafika waache kunata wakikutana mashabiki alafu hizi kushusha suruali na kukata sana mauno sio ndo kujua muziki Nature katisha sana afu ni kibabe zaidi maana haiendi kule kwny redio akina Pilato.
 
Haaaaahaa ma men Kibra msitu wa vina ebwana eeeehh jamaa kapita vzr kwny hii joint mpaka imebidi niifanye ringtone yng kama jana ualafu uyo dada Judith mamaaaa kakaza bonge moja la ngoma kwng mimi nimeani legends wakiamua ni kisangaaa yote 9 ila siwezi sema kalengwa Daimond cuz kasema dada Mondi ila wa leo wote wakisema yalaa limewafika waache kunata wakikutana mashabiki alafu hizi kushusha suruali na kukata sana mauno sio ndo kujua muziki Nature katisha sana afu ni kibabe zaidi maana haiendi kule kwny redio akina Pilato.
Anasema sir nature...usiwe limbuken wewe dada mond wakikuita mashabiki unakula bundi kukata kiuno sana kwani ndio ufundi?
 
Anasema sir nature...usiwe limbuken wewe dada mond wakikuita mashabiki unakula bundi kukata kiuno sana kwani ndio ufundi?

Nimependa pia Kibra kaimba alafu ka-rap kuonyesha ubabe kaimalizia yy chorus ila bonge moja la joint ukiwa umenza na kupenda muziki na akina Mavoko huwezi kuelewa Jide dzain anasema tusiwaache rafiki wa jana hawa wa leo hatujui tabia zao
 
Nimependa pia Kibra kaimba alafu ka-rap kuonyesha ubabe kaimalizia yy chorus ila bonge moja la joint ukiwa umenza na kupenda muziki na akina Mavoko huwezi kuelewa Jide dzain anasema tusiwaache rafiki wa jana hawa wa leo hatujui tabia zao
Kwa kifupi bonge la songs lengend wawil wamepika kitu cha uhakika na hata melody imetulia vbaya mno.
 
Nature itambidi afanye kazi hasa,dogo Diamond amejipanga sana.

Duh jamaa utakua unatania Nature na Diamond??uyu Platnum ambae ni junior kwny gemu na Nature senior acha jamaa ever green fikiria toka 2000 albam ya kwnz hajawahi kuacha kufanya show mpk wamepita hawa watoto wa kutosha hiki kijamaa kipo ndo kasema yupo km hayupo ila uyu Platnum kwa kasi hii trust me ipo siku atakua kakaa hm anasikiza jingle za Nature anafanya show wkt yy tushamsahau.
 
huyu diamond wamuache...kama kaka yao vimeno AY kaomba poo kwa platinumz sioni wa kumzuia nasseeb kwa sasa...
 
Sawa sawa Sir Juma Nature Kiroboto! wanauziiiiiiiiii.... kama vipi walipize tuwape za ugoko! TMK for life.... Wapi Manyema Family?
 
Back
Top Bottom