Haaaaahaa ma men Kibra msitu wa vina ebwana eeeehh jamaa kapita vzr kwny hii joint mpaka imebidi niifanye ringtone yng kama jana alafu uyo dada Judith mamaaaa kakaza bonge moja la ngoma kwng mimi nimeani legends wakiamua ni kisangaaa yote 9 ila siwezi sema kalengwa Daimond cuz kasema dada Mondi ila wa leo wote wakisema yalaa limewafika waache kunata wakikutana mashabiki alafu hizi kushusha suruali na kukata sana mauno sio ndo kujua muziki Nature katisha sana afu ni kibabe zaidi maana haiendi kule kwny redio akina Pilato.
jamaa ana wivu dogo ametoka yeye amebaki huko tmk anavuta bangi
ha ha ha acha uzembe wewe natuer hajamdis mtu ila ni ku utetea huu mziki ambao nyie wakata viuno mnaupoteza na kufanya udharaulike kwa jamii, watoto wa kiume kukata mauno nakuvaa nguo zinazo bana manake nini? na dada zao wafanye nini acha ungese wewe na ficha upumbavu wako
Amefuria huyu bangi zinamdhuru, ndio kawaida ya watoto wa uswazi wakiferi maisha adui yao anakuwa ni yule mwenye mafanikio.
achana nae huyo ni mvuta bangi mwenzie. wao walivyokuwa wanavaa milegezo kama magasho na kuvaa mijinsi mipana kama yale manguo ya kukusanyia unga mashineni nani aliwatukana?.mp.u.mb.avu mwenyewe, mngese mwenyewe na fam.ili.a yako.
kwanini huyo nature hajatoka na ulie mziki wake wa wavuta bangi?
Mkuu acha kuchanganywa "r" na "L"
Katafute bwana mbele huko kima wewe.
achana nae huyo ni mvuta bangi mwenzie. wao walivyokuwa wanavaa milegezo kama magasho na kuvaa mijinsi mipana kama yale manguo ya kukusanyia unga mashineni nani aliwatukana?.
Diamond forever.....
cz Anakudnya?
Coz anatudinya mimi na wewe
Unakatwa wewe....nenda ujiswafi huko
Unakatwa wewe....nenda ujiswafi huko
Coz anatudinya mimi na wewe
Kwanza Inama nikukague kama na wewe umejiswafi,>>>>>>
Hili jibu zuri aiiiiiiii mbavu zangu mie