Sir Nature Amdiss Diamond Mchana Kweupe

Sir Nature Amdiss Diamond Mchana Kweupe

Haaaaahaa ma men Kibra msitu wa vina ebwana eeeehh jamaa kapita vzr kwny hii joint mpaka imebidi niifanye ringtone yng kama jana alafu uyo dada Judith mamaaaa kakaza bonge moja la ngoma kwng mimi nimeani legends wakiamua ni kisangaaa yote 9 ila siwezi sema kalengwa Daimond cuz kasema dada Mondi ila wa leo wote wakisema yalaa limewafika waache kunata wakikutana mashabiki alafu hizi kushusha suruali na kukata sana mauno sio ndo kujua muziki Nature katisha sana afu ni kibabe zaidi maana haiendi kule kwny redio akina Pilato.

jamaa ana wivu dogo ametoka yeye amebaki huko tmk anavuta bangi
 
jamaa ana wivu dogo ametoka yeye amebaki huko tmk anavuta bangi

ha ha ha acha uzembe wewe natuer hajamdis mtu ila ni ku utetea huu mziki ambao nyie wakata viuno mnaupoteza na kufanya udharaulike kwa jamii, watoto wa kiume kukata mauno nakuvaa nguo zinazo bana manake nini? na dada zao wafanye nini acha ungese wewe na ficha upumbavu wako
 
mp.u.mb.avu mwenyewe, mngese mwenyewe na fam.ili.a yako.

kwanini huyo nature hajatoka na ulie mziki wake wa wavuta bangi?
 
Diamond anakesha akipambana na ally kiba daily kumponda kiba,lakin kiba hajawah kujibu

Una uhakika,kwa taarifa yako kiba alianza domo akamalizaa,acha apae zamu yao ishapita banaaa ni zamu ya PLATNUM
 
Last edited by a moderator:
mp.u.mb.avu mwenyewe, mngese mwenyewe na fam.ili.a yako.

kwanini huyo nature hajatoka na ulie mziki wake wa wavuta bangi?
achana nae huyo ni mvuta bangi mwenzie. wao walivyokuwa wanavaa milegezo kama magasho na kuvaa mijinsi mipana kama yale manguo ya kukusanyia unga mashineni nani aliwatukana?.
 
duh humu jf kuna comments za baadhi ya watu zimenichekesha sana.ugomvi wa 'R' na 'L', teeeeh,teeeeh,teeeeh!@#%&&
 
achana nae huyo ni mvuta bangi mwenzie. wao walivyokuwa wanavaa milegezo kama magasho na kuvaa mijinsi mipana kama yale manguo ya kukusanyia unga mashineni nani aliwatukana?.

atakuja mwingine na kuvaa suti na watapondea
 
matumbo Matola thegreen

Mkiusikiliza huu wimbo mtaona aibu na kauli zenu,jide na nature wanapgiania mzki,sikiliza vzur na verse ya jde..

Nature hajafulia kimaisha na hawez aliwekeza..

ndugu somji, mi sijakataa kwamba hawajafulia na kweli nafahamu hakuna aliyefulia kati ya hao. lakini mi siamini kama mtu unaweza kum-dis mwenzako hivi hivi. lazima kuna kitu ambacho necha hakipendi kwa huyo dogo. na najua kuwa wote wako na biz zao hapa town ila sio fresh kwa mkongwe ka yule kuongea kile kitu. kina necha sometimes wanaimba nyimbo kama za mipashu hivi ndo maana siku hizi sio kiviillee.
 
mtamtukanaa sana domo...mwenzenu matusi kwake ndo chai yake,lunch yake na dinner yake....wakati mnawaza matusi mapya...mwenzenu anawaza deal mpyaa..
 
Japo anaweza kukana hakumaanisha uliyemtaja na akashinda maana hiko wazi hilo si jina la diamond.

Lakini kama nature anajaribu kumtukana Diamond bhasi nahisi ameanza kuumwa maana sijawai kusikia wamegombana au kukwaruzana.

Hifike wakati wasanii wakubwa waache kufikiri wasanii wanaotamba kwa sasa ndio chanzo cha kuanguaka kwao.

Mi nafikiri juma nature anazidi kuchanganyikiwa.
 
Back
Top Bottom