Siri 5 za Ndoa Inayodumu

Mwanamke kumpigia magoti mumewe pale......

1. Wanaposalimiana

2. Anapomkarisha chakula mezani

3. Anapompa/kupokea kitu chochote

4. Kumpa mumewe uroda bila masharti.

Mambo hayo yamebeba kitu linaitwa UNYENYEKEVU.

Hiyo ndio siri.
Hela haihusiki?
 
Thanks na hongera sana
 
Vipi kama umejichanganya ukaoa feminist uchwara asiyeambilika? Hiyo ndoa itatoboa?
 
Kwenye maandishi mnajifganya mnaenjoy ila humo ndani chumbani hamna mwenye hamu na mwenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…