Siri gani ambayo huwezi kumwambia mtu yeyote kwenye maisha ya kweli lakini utaisema humu kwa kutumia anonymity? ?

Kuisema jf bora umwambie MTU maana jf imekuwa shida, labda kama mm ambae sins mazoea ya kujuana na watu jf, sina zaidi ya watu 2 ninaowajua jf, pm wanakuja wengi sijawahi kubali.

Mbaya zaidi nilivyosoma mizozano ya watu, kuhusu ngabu, nilichoka, hata kama, mnatofautiana, utawezaje MTU kuleta hadi mambo ya nyumbani jf?

Ule Uzi ulinifundisha mengi, MTU anaweza jileta kama Rafiki kumbe kaja kwako kupiga picha kitanda unacholalia na kukileta jf.

Mwisho hakuna siri zaidi yako mwenyewe
 
Si umfundishe kupiga gear baby
 
Sio sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…