Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA

Ondoa ananena weka neno anajidhihirisha.Asante kwa kunirekebisha.
Imeandikwa KUNENA. Sijakurekebisha bali hili neno lako KUJIDHIHIRISHA ndio unataka kuchomeka! Halimo kwenye biblia.....
 

Shida ni pale baadhi wanafundisha maandiko yaliyochakachuliwa tayari sasa hapo hata reasoning inakuwa ngumu maana kila hoja unajifunga
 
Imeandikwa KUNENA. Sijakurekebisha bali hili neno lako KUJIDHIHIRISHA ndio unataka kuchomeka! Halimo kwenye biblia.....
Mkuu naona nazunguruka,ila umenifundisha siku za mbeleni nitatumia vifungu vya bibilia ili kuepusha utata.
 
Nilijua turn unakoelekea nI huko, kwanza ulianza siri sasa unahoji uhalali usianze kuzunguka sema Shida yako au ushauri wako ni nini? tuachane name Bible tukifuate kitabu unacho kiamini wewe, au na sisi tufanye masahihisho?
 
Nilijua turn unakoelekea nI huko, kwanza ulianza siri sasa unahoji uhalali usianze kuzunguka sema Shida yako au ushauri wako ni nini? tuachane name Bible tukifuate kitabu unacho kiamini wewe, au na sisi tufanye masahihisho?
Siri ni kwamba kuna vitu kwenye Bible walitaka tusivijue mfano

1. Malaika kuzaa na wanadamu hii topic inaepukwa sana hivyo ikabidi Book of Enoch kisiwekwe.

2. Hawakutaka tujue injili ya kweli aliyopewa Yuda iskariot ambayo ni tofauti na ilivyoongelewa kwenye zile injili 4 hivyo kitabu cha Gospel of Judas kikaachwa

3. Hawakutaka tujue siri ya kilicho nyuma ya mnara wa babeli ndio maana kitabu cha Jasher kimeachwa kikachukuliwa cha mwanzo maana ndio kimeongelea in detail maisha ya Nimrod na mnara wa babeli.

4. Pia hawakutaka tujue kisa hasa kilichofanyika Eden ndio maana First Book of Adam/Apocalypse of Moses kiliachwa sababu kinaeleza kwa undani kisa chenyewe na fumbo la tunda.

5. Book of enoch pia kinaonyesha Nuhu alikuwa mzungu wa kwanza na mababu zake wote walikuwa weusi ndio maana wakamshangaa Huo uzungu katoa wapi hivyo mambo kma haya wakaona yataleta black superiority wakaona wakifiche hii siri.

Hizi ni speculation tu sio facts ndio maana nikaleta uzi kuhoji je hatuoni kuna siri tunafichwa ndio maana baadhi ya vitabu vimetolewa??

Recommendation yangu ni kwamba Biblia ni halali hivyo kusiwepo na double standard katika kuchuja vitabu ndio maana nmeweka ushahidi wa jinsi sababu hizo hizo zilizosababisha book of Enoch kitolewe hazikutumika kukitoa kitabu cha Wimbo ulio bora!! Je huoni kuna shida hapo.

Na ukitaka kujua kuna shida zaidi jiulize kwanini kila dhehebu lina biblia yake kama wangekuwa wameongozwa na Roho mtakatifu kivp watofautiane namba ya vitabu?? Huoni mnapotosha mnaposema vitabu vya Biblia vilipangwa na Mungu ilihali ni mawazo ya watu wachache tu

Huu ndio mzizi wa hoja.....
 
Hahahahahaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inamaana mtume s.w hakuwa kiumbe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hahahahahaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inamaana mtume s.w hakuwa kiumbe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
hio Quran 18:10 inasema yeye ni mtu tu....
shida nyie mnarukia hadithi huwezi kupata uhakika kwa hadithi tu na zipo hadithi ambazo zinaongelea hio ishu ya kutokua na kivuli but usahihi wake ndio utata ila sisi tunaamini Quran ndio inasema ukweli kua ni mtu.
 
Kufuta na kuongeza maneno kwenye bible si kitu kilichotokea kwa bahati mbaya.. ninachokifahamu ni hivi:

Wazungu (albinos) baada ya kuibuka washindi (triumph) katika mapigano dhidi ya watu wenye rangi walihitaji kuona kuwa isitokee hata siku moja wao kurudi kuwa duni kwani uzeru zeru wao tayari yalikuwa no mateso tosha.

Mambo karibu yote yalikuwa yameandikwa kuhusu watu na matukio katika harakati mbali mbali.. mfano nchi ipi ilikuwa ya kina nani.. walikuwa wa rangi gani etc. Maandiko mengi yalionesha jinsi hao albino wasivyokuwa na historia wala accomplishments kwani ni binadam waliotokea baadaye sana kwenye uso wa dunia kutokea kwenye mapango ya Asia (Caucasus).

Baada ya kupigana vita na kupata ushindi, mambo mengi hayakuwa upande wao.. kwani katika hizo vita walikuwa wamefanya genocide ya kutisha.. swala ambalo lingewafanya salama ilikuwa ni kuharibu ushahidi. Ushahidi ulikuwa overwhelming.. na ilichukuwa miaka zaidi ya elfu kuharibu huo ushahidi.. mojawapo la awali ni kuteketeza au kuficha maandiko ya awali kabisa ambako biblia ilitoholewa (septuagint)..

Hadi mwaka 1600.. mradi wa kupoteza ushahidi ukawa umekamilika.. dunia ikawa haijui tena kilichotokea.. walikalia maeneneo yasiyo ya kwao ambayo leo wao wanajiita wazawa.. hakuna anayejua maana ushahidi waliuteketeza. Wanadai Yesu alikuwa kama wao na hakuna anayepinga maana ushahidi waliuteketeza. Hata wakidai wao ndo mungu huwezi kubisha maana ushahidi waiufutilia mbali.

Kwa hiyo kuongeza au kupunguza maneno ilikuwa katika kuhakikisha bible inawabeba wao zaidi kuliko watu wenye kumiliki hayo maandiko.

Nitarudi
 
Biblia imeandikwa kwa weledi mkubwa sana, sina imani kama wewe huo weledi unao.
Kuamini hivyo ni kukosa elimu na maarifa.. tena ni ujinga. Watu waloelimika hutafuta kwanza evidence kabla ya kuamini. Hiyo bible imeandikwa kwa makini kiasi fulani.. kwa lengo maalum ambalo lilifanikiwa tena sana... ile kwamba wewe ni maskini au huna elimu sahihi au morals ambazo ni independent ni mojawapo ya mafanikio ya bible...
 
Unayoongea ni dhahiri shahiri unaoongea kitu usichokifaham vema.. na haishangazi hata kuona hustuswhi na contradictions kibao zilizoko kwenye bible.. wakati wewe ukiamini kuwa bible iliandikwa ili watu wamjue Mungu na waokoke ili waende peponi sivyo ilivyo..

Jingine ni kuamini kwamba bible iliandikwa na jopo la watu walioongozwa na roho mtakatifu.. hili nalo halina mashiko.. hasa kama hujui historia sahihi na halisi ya bible. Bible iliandikwa na watu.. na mengine mengi ya kubuni yakujaongezewa baadaye sana ili kukamilisha lengo flani
 
Watu wamemezeshwa tu mambo wasioyajuwa. Akili yao haiko huru kuhoji na kutafuta majibu. Uongo ukirudiwa rudiwa tena kwa muda mrefu na ukahifadhiwa katika maandishi basi uongo huwa hubadilika na kuwa ukweli..

Mfano, story nzima ya kuwepo jesus, kuzaliwa na mama tena bikira, kufufuka baada ya siku tatu na kupaa mbinguni ni mojawapo ya story fake kabisa ambazo watu wanaziamini.. hizi ni story za kufikirika tena zilizoandikwa baada ya Mkutano wa Nicea hapo karne ya nne (325 AD).
Hii ni story iliyokuwa plagiarized kutoka kwenye mythology ya Khemet (Ancient Egypt) ambapo maandiko yao yalimzungumzia Horus.. kama mtu aliyezaliwa na mama bikira.. na ilikuwa ni kama iman ya watu wa Khemet.

Wazungu ili kuonesha kuwa na wao walikuwa watu muhimu katika historia ya dunia hii wakaibuka na story ya Jesus.. uongo. Tukumbuke kuwa miaka ile ya kipindi kinachodaiwa kuwa Yesu aliishi watu walikuwa wameshajuwa kuandika karne nyingi mbele. Katika documents za kiutawala (ambazo ziko hadi sasa) story ya Jesus haikelezwa wala kuandikwa kwnye official communications za Roman empire ya wakati huo. Wakati huo Ceasar wa Roman Empire aliitwa Tiberius.. yaliandikwa mengi sana kuhusu utawala wake.. isingwezekana magoverner wake waliokuwa mashariki ya kati wakashindwa kurecord story nzima ya Jesus.. kwani yaonekana hakuwa mtu wa kawaida na alitishia ustawi wa dola la kirumi huko mashariki ya kati.

Dunia hii ina mambo hatari lani ni vizuri kujibidiisha ili tuelewe. Tusiwe wavivu kuhoji.. kuna mambo yamefichwa maksudi maana kuna watu wanafaidi sana kwa kudanganya watu wengine.

Nakushukuru tena mtoa hoja
 
Unataka nikuamini wewe?? Mambo mengine ni common sense tu.
 
Ukisoma kitabu cha ‘the secrets in the bible’ by Tony bushby ameelezea kwa undani sana vitu ulivyogusia kwenye huu uzi. Hasa kuhusu kuondolewa baadhi ya vitabu, chanzo cha KJV na siri nyingine zilizopo kwenye bible.

Google tu utakipata.
 


Kwa sisi tulianza kusoma Biblia kuanzia tukiwa kindergaten mpaka hapa tunakuelewa vizuri sana. Biblia imekaa kinjama njama hivi. Ila imenisaidia kuwa na akili na kuijua dunia. Kwa sasa siiamini
 

Baraza lilipata wapi baraka za Mungu Mkuu?
Mungu ni Baba yetu kwa nini tusimzungumzie?
 
Katika mechanical engineering, tolerance limit ni 0.01mm. Fikiria kalamu (peni), unapofunga kile kizibo unasikia mlio Fulani. kuonyesha tolerance limit inavyofanya Kazi. Kinyume na hapo kizibo kitakuwa loose na kitadondoka na kalamu itapungua thamani.

Tulitarajia maandiko ya Mungu yanayoongozwa na Roho Mtakatifu yawe more accurate kuliko tolerance limit ya mwanadamu. Ona jinsi Mwezi unavyozunguka Dunia. umewahi kusikia mwezi unagongana na Dunia?? Au Dunia inapoteza diameter yake na Jua na kupotelea angani?? Au Dunia kugongana na sayari zingine?

Allah yupo accurate sana katika maumbile ya vijiduara vinavyoelea angani. Tena kwenye space ambayo iko pana kwelikweli!.
Utaiteteaje biblia na roho mtakatifu katika suala la accuracy na precision? Au Roho mtakatifu yupo so weak and lose?. Nijuavyoa huyo roho mtakatifu yupo kinyume na hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…